Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
Waeleze. Wao wanajua kusema tu "fly over"
 
Kuna nchi viongozi wake wanaondolewa kwasababu ya huu mfumuko wa bei!! Muache mama aupige mwingi!
 
Anaesema Putin kidume ni MaCCM na CCM yenu, hata kura ya tanzania UN imemtetea muuaji mwenzao Putin.

Koma kuja kusema uongo humu.

Samia na serikali yake wamefeli kabla ya kianza.. mama hafai, mama hatoshi.

#katibampya ni lazima na ni sasa.
Itabidi usage chupa ,ndio keshakuwa Raisi wako na watu wanampenda wakikumbuka adhabu ya uongozi uliopita.
 
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
Computer na TV halafu unasema unaongelea kupitia mtazamo wa wananchi wa kawaida?! Tutake radhi mkuu
 
Wala msiumize kichwa hamieni Ulaya kule bei za vitu zimeshuka au kama mbali hapo Kenya tuu bei ziko karibu na bure 🤣🤣
 
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.

Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto kubwa ambayo haijawahi onekana tangu uhuru​

Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.

Vita ya ukrein na urusi

Imewauma sana huyu mama kushika uongozi. Allaah amjaalie, na amlinde na watu wabaya.
 
Back
Top Bottom