Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
At some point Karume alikuwa mjanja kuliko mzanaki.
Ndio maana kulikuwa na kero za muunganoWakuu Huu ni Ukweli Unaoumiza uliosemwa na Rais Wa Zanzibar Dr. Mwinyi Kuhusu Watanganyika Kumiliki Ardhi.
.
Kinachoonekana Ni Kwamba, Ardhi ya Wazazibar ni Kwa Ajili ya Wazazibar Tu.
.
Ila Ardhi Iliyoko Tanganyika Kwa maana ya Tanzania Bara ni Ardhi ya Watu Wote Kwa maana ya Wazazibar wakija Bara kuomba ardhi hawapewi masharti kama Wanayopewa Watanganyika wakitaka Kumiliki Ardhi Zanzibar.
.
Tuishi Kwa Kufikiri Sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
View attachment 2202002
Fanya kura ya maoni uone Kama wanautaka muunganoBado kuna tatizo sehemu flani.
Kwanza hakuna mzanzibari atapenda kuona muungano unavunjika, sababu faida wanayoipata ni kubwa kuliko kawaida.
Issue ya ardhi inawabeba sana, wengi wa wazanzibari wamenunua aridhi na kujenga majumba kila mahali Tanganyika, wamekodisha na kuweka biashara tofauti so kila wakati wanaenda kukushanya mapato na kurudi Zanzibar kulamba Asali.
Kutokana na hilo ni ngumu kukubali muungano kufanyiwa hata marekebisho au zile kero although vipengere vichache ndivyo vitarekebishwa japo sio vile vinavyowagusa moja kwa moja.
Kwani ardhi ya tanganyika tunaimiliki au tunakodishiwa!!?Wakuu Huu ni Ukweli Unaoumiza uliosemwa na Rais Wa Zanzibar Dr. Mwinyi Kuhusu Watanganyika Kumiliki Ardhi.
Kinachoonekana Ni Kwamba, Ardhi ya Wazazibar ni Kwa Ajili ya Wazanzibar Tu.
Ila Ardhi Iliyoko Tanganyika Kwa maana ya Tanzania Bara ni Ardhi ya Watu Wote Kwa maana ya Wazanzibar wakija Bara kuomba ardhi hawapewi masharti kama Wanayopewa Watanganyika wakitaka Kumiliki Ardhi Zanzibar.
Tuishi Kwa Kufikiri Sana.
View attachment 2202002
Tanganyika hakuna Umiliki Wa Ardhi Bali Kuna Unakodishwa Kwa vipindi Fulani FulaniKwani ardhi ya tanganyika tunaimiliki au tunakodishiwa!!?
Vipi kuhusu zenji nao wanamiliki au wanakodisha?Tanganyika hakuna Umiliki Wa Ardhi Bali Kuna Unakodishwa Kwa vipindi Fulani Fulani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Zenji vipi kunakodiahwa au kunamilikishwaTanganyika hakuna Umiliki Wa Ardhi Bali Kuna Unakodishwa Kwa vipindi Fulani Fulani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo Dr Mwinyi yeye mwenyewe ni mtanganyika ila ana miliki mpaka uraisi wa Zanzibar kwa hiyo muache shoboWakuu Huu ni Ukweli Unaoumiza uliosemwa na Rais Wa Zanzibar Dr. Mwinyi Kuhusu Watanganyika Kumiliki Ardhi.
Kinachoonekana Ni Kwamba, Ardhi ya Wazazibar ni Kwa Ajili ya Wazanzibar Tu.
Ila Ardhi Iliyoko Tanganyika Kwa maana ya Tanzania Bara ni Ardhi ya Watu Wote Kwa maana ya Wazanzibar wakija Bara kuomba ardhi hawapewi masharti kama Wanayopewa Watanganyika wakitaka Kumiliki Ardhi Zanzibar.
Tuishi Kwa Kufikiri Sana.
View attachment 2202002
Wao pia wanakodishwa Kwa Mda Wa miaka fulani².Zenji vipi kunakodiahwa au kunamilikishwa
Mtoa Tamko ni Mzanzibar anaemiliki ardhi bara. Watanganyika sijui nani katulogaWazanzibari wanapenda sana Muungano wa changu changu, chako changu.
Vijamaa ni vinyonyaji mpaka basi.
Ukivikuta vimetunakwenye bunge letu la Tanganyika kule Dodoma, unaweza ukadhani kuna jambo la msingi vinafanya!
Kumbe vinahemea tu kodi za Watanganyika.