Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Usijari tunalifanyia kazi,utajibiwa vizuri kabisa just be patient tukuandalie report.
Naomba majibu hayo na mm nipewe please👏
Usijari tunalifanyia kazi,utajibiwa vizuri kabisa just be patient tukuandalie report.
Mkuu katika swala la matumizi ya nguvu ya umeme(wattage) hakuna chenye afadhari,yaani kila kitu utalipia kulingana na ,matumizi yako,Iwe AC au DC sababu zote mbili fomula ya kutambua wattage ni moja ambayo ni POWER= VOLTAGE X CURRENT.
Lakini kitaalamu kuna kitu kinaitwa Power factor ambayo ni uwiano wa nguvu inayotumika kuendesha mfumo na ile inayoenda kutumika,power factor katika kutumia umeme wa DC moja kwa moja huwa ni ndogo zaidi kuliko kuubadilisha umeme uende katika AC ndipo utumie.
Hivyo kwa kutumia umeme direct wa DC utakusaidia kusustain power yako kwa asilimia flani japo ni kidogo sana.
Mzee unasuka inverter???Inverter nyingi za dukani tayari
huwa zimewekewa circuit ya
kulinda battery inverter za namna
hii huandikwa kabisa katika label
yake utakuta imeandikwa
efficiency 80% au 70% au 90% etc.
hapa ni kama umetudanganya mkuu wetu......unajua maana ya efficiency kweli?? who told you SLA battery hazipaswi vuka 30%?? kasome vizur uje
hapana najarbu muelekeza huyo jamaa hajui maana ya efficiency anatufunga kamba!! kwa maelezo yake inamaana ataacha yenye 90% achukue 70%Mzee unasuka inverter???
ulipata?nahitaji inverter ambayo inacharge yenyewe battery yani automatic charger inverter
Mnaweza kusuka inverta za 3phase mkuu?Hongereni kwa kuhudumia wananchi.
Nilitarajia kuona haya maneno mwisho wa yote, vinginevyo ningeshangaa kidogo.
Inverter gani nzuri sizizopiga makelele?Maswali ya solar na inveter yanakaribishwa
Inverter gani nzuri sizizopiga makelele?