ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Frola ni Mwalimu wa shule ya msingi hapa Tabora mjini kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa Kitete anauguza majeraha kadhaa ya mwili pamoja na miguu yake miwili iliyovunjwa na iliyoripotiwa kuwa ni 'watu wasiojulikana'.....ili hali mwenyewe amesha weka wazi sakata lote na kuwataja waliohusika na kumpatia kipigo hicho cha kinyama...
Ametaja gari lililotumika kwa safari hiyo tokea Dodoma lenye namba za DFP.
Chama cha walimu kupitia wiki iliyopita kufuatia sakata hilo wameomba maelezo ya kina na nini sababu ya watu kujichukulia sheria mikononi wakati vyombo vya sheria vipo ?
Sisi wadau, jamaa na wananchi Tabora tunaomba ukweli wa jambo hili na wakosaji wachukuliwe hatua za kinidhamu.
Wizara ya elimu mnao wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha haki inatendeka ili kukomesha maonevu ya namna hii.