Ukweli uanikwe Mwalimu aliyevunjwa miguu Tabora

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Frola ni Mwalimu wa shule ya msingi hapa Tabora mjini kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa Kitete anauguza majeraha kadhaa ya mwili pamoja na miguu yake miwili iliyovunjwa na iliyoripotiwa kuwa ni 'watu wasiojulikana'.....ili hali mwenyewe amesha weka wazi sakata lote na kuwataja waliohusika na kumpatia kipigo hicho cha kinyama...

Ametaja gari lililotumika kwa safari hiyo tokea Dodoma lenye namba za DFP.

Chama cha walimu kupitia wiki iliyopita kufuatia sakata hilo wameomba maelezo ya kina na nini sababu ya watu kujichukulia sheria mikononi wakati vyombo vya sheria vipo ?

Sisi wadau, jamaa na wananchi Tabora tunaomba ukweli wa jambo hili na wakosaji wachukuliwe hatua za kinidhamu.

Wizara ya elimu mnao wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha haki inatendeka ili kukomesha maonevu ya namna hii.
 
Kusikiliza 'tale' za upande mmoja inaletaga jazba sana.

'Kujichukulia sheria mkononi' ni neno pana ninaona.

Hivi mwizi anapokwiba huwa hajichukulii sheria mkononi?

Je wananchi wenye hasira wanapofanya yao, kwa nini lawama za 'sheria mkononi' huhamishwa toka kwa mwizi na kubakizwa kwa raia pekee?

Ukitaka kuishi kwa neema duniani tenda, wema na usingoje utetezi wa watu wengine.

Huyo hajaonelewa bila sababu, kafanya unyambilisi ndiyo sababu kapata aliyoyapata katika kumfanya aseme ukweli usiotia shaka.

Sema ndiyo hivyo tena, waliomhoji nao ni ma learner! Utamvunjaje miguu, badala ya kumsina tu mtu anataja kilakitu?

Mkuu ungeweka kwanza kashifa zake alizozifanya yeye za kupora mtihani wa mtoto na kuuchana ndiyo umalizie na pointi uliyokuja nayo.
 
Taarifa toka kwa Ndugu yangu anaeshi JIRANI na Mwalimu Mama huyu ni kuwa alisimamia mtihani wa darasa la saba.

Ilipochukuliwa kwenda wizarani DODOMA ikahisiwa kuwa kwenye bahasha aliosimamia kulikuwa na mapungufu hivyo ikatumwa gari na Usalama wa Taifa na askari wengine toka Dodoma na kumchukua Tabora kwenda kusikojulikana baada ya siku tano akarudishwa na kutupwa Kitete hospitali akiwa hajitambui, amevunjwa miguu pia amejeruhiwa kifuani hata kupumua hawezi.

Walimu Tabora wanajua ila wametishiwa atakayefungua mdomo tu atafuata. Hongera Mwanri kuwaziba mdomo.

Human Rights fikeni haraka Kitete hospital.
 
Sio kweli hakuchana mtihani au wewe ndio uliofanya hayo?! Haya kwa nini mpaka mkambaka na kumlawiti ni Kisa mtihani tuuu.
 
Aisee
Taarifa toka kwa Ndugu yangu anaeshi JIRANI na Mwalimu Mama huyu ni kuwa alisimamia mtihani wa darasa la saba.

Ilipochukuliwa kwenda wizarani DODOMA ikahisiwa kuwa kwenye bahasha aliosimamia kulikuwa na mapungufu hivyo ikatumwa gari na Usalama wa Taifa na askari wengine toka Dodoma na kumchukua Tabora kwenda kusikojulikana baada ya siku tano akarudishwa na kutupwa Kitete hospitali akiwa hajitambui, amevunjwa miguu pia amejeruhiwa kifuani hata kupumua hawezi.

Walimu Tabora wanajua ila wametishiwa atakayefungua mdomo tu atafuata. Hongera Mwanri kuwaziba mdomo.

Human Rights fikeni haraka Kitete hospital.
 
Frola ni Mwalimu wa shule ya msingi hapa Tabora mjini kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa Kitete anauguza majeraha kadhaa ya mwili pamoja na miguu yake miwili iliyovunjwa na iliyoripotiwa kuwa ni 'watu wasiojulikana'.....ili hali mwenyewe amesha weka wazi sakata lote na kuwataja waliohusika na kumpatia kipigo hicho cha kinyama...

Ametaja gari lililotumika kwa safari hiyo tokea Dodoma lenye namba za DFP.

Chama cha walimu kupitia wiki iliyopita kufuatia sakata hilo wameomba maelezo ya kina na nini sababu ya watu kujichukulia sheria mikononi wakati vyombo vya sheria vipo ?

Sisi wadau, jamaa na wananchi Tabora tunaomba ukweli wa jambo hili na wakosaji wachukuliwe hatua za kinidhamu.

Wizara ya elimu mnao wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha haki inatendeka ili kukomesha maonevu ya namna hii.
Mkuu sikuwahi kufikiria kuwa kuna watu munatambua haki za binadamu
 
Taarifa toka kwa Ndugu yangu anaeshi JIRANI na Mwalimu Mama huyu ni kuwa alisimamia mtihani wa darasa la saba.

Ilipochukuliwa kwenda wizarani DODOMA ikahisiwa kuwa kwenye bahasha aliosimamia kulikuwa na mapungufu hivyo ikatumwa gari na Usalama wa Taifa na askari wengine toka Dodoma na kumchukua Tabora kwenda kusikojulikana baada ya siku tano akarudishwa na kutupwa Kitete hospitali akiwa hajitambui, amevunjwa miguu pia amejeruhiwa kifuani hata kupumua hawezi.

Walimu Tabora wanajua ila wametishiwa atakayefungua mdomo tu atafuata. Hongera Mwanri kuwaziba mdomo.

Human Rights fikeni haraka Kitete hospital.
Niko mahali, nimesikia taarifa za kutisha za wana ccm walivyo wanyama. Hili pia huenda linawezekana
 
Back
Top Bottom