Ukweli toka moyoni

Ukweli toka moyoni

amin si kila kijana ni wakweli la hasha.ila mimi nahitaji penzi lazati sijari suru,rangi,tajiri,masikini bali nimtu yeyote wakike mwenye umri miaka 30-45
 
hata mie nimechekaje nliposoma.Embu imagine unamkuta anatongoza???Upo? mtoto mzuri hapa long time toka kijiji cha babukadja

Kumbe upo pande izi! Nimekukosa sana raiza. Vipi vigezo havitoshi uchukue penzi kutoka kwa mujini shure!
 
We kijana acha utani na watu wazima, yaani wewe umri wako 25 unataka mwanamke wa miaka 45 afu unasema asiwe ametendwa, umeona wapi mwanamke wa miaka 30-45 hajatendwa. 45-25=15. au unataka mwanamke wa kukutunza kifedha wakati unatafuta kazi?
Rai: Kwa umri wako na kwa mahitaji yako unatakiwa kumtafuta binti wa miaka 20 ili mfanane mitizamo ya maisha.
 
kweli lugha ngumu niseme vipi ili muelewe si lazima awe hajatendwa ila akubari kupima HIV nakama anahisi labda watu watamuona vibaya kwenye hii jf basi anitumie kwakutumia email hii wapohawapo@gmail.com mda mwingi nakua hewani
 
Mkuu ni kwamba Kiswahili kinakupiga chenga, au hii ni ID yako nyingine umeamua kubadili mfumo andishi kuwahadaa wanabodi??Kwa namna tu uandikavyo, hakika hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayeweza kuvutiwa nawe...niamini mimi!

Naunga mkono hoja.
 
hivi kwe:A S-heart-2:li wanao nitumia niwarengwa au mnanitania maana nimesema ukweli wangu mnaona natania.jamani nilicho andika ndicho nncho kihitaji :A S-heart-2:na kuhusu kenya nilienda kusoma tu lakini ni mtanzania wa kuzaliwa na kuishi pia nasasa naishi ilala dsm na napendelea kucheza mpira,kusoma vitabu hasa maktaba kuu ya taifa,pia hua napendelea kuendesha gari.:A S-heart-2:rangi yangu ni maji yakunde,pia mrefu kkidogo na sina baka lolote kwenye mwili wangu.:A S-heart-2:ila nampenda sana mwanamke alie nizidi umri awe na miaka 30-45 nipo tayari kwamawasiliano na pia email yangu nimesha iweka hewani.hebu naomba nieleweka jamani.:A S-heart-2:
 
Back
Top Bottom