mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Kwa akili ndogo hiyo uliyo nayo si rahisi kuweza kutofautisha aman na uvumilivu kwa mfano tu ndio maana hata wewe mke unaweza vumilia mateso ya mume wako sababu huna namna ya kumfanya au huna wa kukumsaidia au huna pa kusemea lakin ukimya wako na uvumilivu dhidi ya mateso hayo haimaanish una amani , hivi nyie watu manasoma shule za wapi nyie au ndio BRN maana mnaonekana vichwani mmejaza tope tupu , maana mna hoja ambazo hata mwanagu wa darasa la tatu hawezi kutoa. Unanipotezea mda wangu bure wapo watu wenye akili timamu na wenye hoja zenye mashiko nyie makapuku mnatupotezea wakati tu humu maana mnaushabiki wa kipumbavu na uongo uongo kuliko uhalisia , shit
Jiulize kwanza wewe umesoma nini! Kama elimu yako ndiyo hiyo ya lugha ya kukataa tamaa, sina shaka bandiko langu limekugusa na hapo ulipo utaendelea kuishi bila amani moyoni.