Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

Mkuu..toka hii habari ivume,kwa tunaofikiri nje ya box tunasemaga story haibalance..
Tukiacha ushabik,hili swala la scorpion na full story nzima hielewek flan mkuu yaan n waz kna ktu knajfchajfcha..
In all,alchofanyiwa jamaa kutobolewa macho n cha kukemea sana,whether n scorpion au mtu mwngne ndo almchoma.....
 
Scorpion yupo chini ya ulinzi wa police na kwakuwa amemtoboa mwenzie macho basi Kaanza ale kisago huku akitoa maelezo yalionyooka,hapo ndipo tutapata ukweli wa Kila kitu.asanten
 
mimi napata mashaka sana ule ukimya wa tangu siku ya tukio hadi media kulibumburua na scorpion kuswekwa rumande...ktk zile siku za ukimya nn kilikua kinaendelea hasa upande wa Said??....
 
Naomba usikilize ile clip aliyokuwa anahojiwa kwani kaeleza yote.Alisema alisaidiwa na raia mwema na ikatokea gari ya polisi na alichukuliwa na hiyo gari ya polisi na mtuhumiwa akiwa mita chache pembeni.Alipelekwa moja kwa moja polisi na kuchukuliwa maelezo na akapewa PF3.
 
Siyo wizi wa Kawaida, inaweza kuwa ni visasi vya kwenye dili chafu au ni visasi vinavyotokana na mambo ya mapenzi au scorpion ni psychiatric patient.
 
Hili tukio linamaswali nengi sana kuliko majibu...
 
Binafsi najiuliza kwanini amtoboe macho.. Na huyu jamaa alietobolewa macho alikua kinyozi.. Hivyo kwa kuangalia tu hakua na Fedha nyingi.. Alikua na maisha ya kawaida.. Na huyu kinyozi inaonyesha anamjua scorpion...
Au alichukua nywele zake kwa kufanyia ushirikina scorpion kugundua akaamua kufanya vile.
 
Characteristic moja ya vinyozi ni wanyoaji wazuri maeneo hata yasiyo wahusu.... Rejea wimbo wa spea tairi maneno aliyo yazungumza mpoki wakati anampiga mkwara mzito matonya.
Huyo jamaa kafanya kitu na mhanga ka retaliate kwa ku hire assassin. Sema nafikiri aliemtuma skopioni alitoa maelekezo ya kumyofoa gogozi kifaa ambacho kilianzisha tamaa ya mhanga ili asiendelee kutamani mali ya mtu mwingine.
Mambo ambayo yanaweza kusababisha ukang'olewa macho, ukaliwa 0714, ukatolewa roho etc
1-Usingizi wa mwanaume mwenzio, pumziko la moyo wake
2-Dhuluma na utapeli.
NB :Hii nimeifikiria kwa sauti tu na haina tofauti na hoja za Darwin.
 
Sasa mimi unajua nipo busy nashugulikia nyumba yangu unajua nina nyumba mpya najenga cha msingi tuonane nikupe nondo zote uende mahakaman ukasimamame shaid wa mlemavu haki lazima itendeke mkuuu
acha visingizio hiyo nyumba unajenga masaa 24? Nenda polisi ukatoe ushahidi
 
Kama ulimsikiliza Said alivyoelezea, alisema kuna msamalia mwema alimuokota pale chini barabarani, akampeleka polisi kuchukua PF3 then akapelekwa Amana, then akakimbizwa Muhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…