Ukweli ni kwamba Kesi ya Freeman Mbowe imefunika kila kitu nchini Tanzania

Yaani kwa sababu akili zako zimeganda hapo wwfikiri kila mtu anawaza kama wewe
View attachment 1990212

Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa ndiye MTU MAARUFU KUPITA WOTE WALIO HAI NCHINI TANZANIA KWA SASA .

Hii ni kwa sababu hakuna taarifa yoyote sasa , iwe kutoka kwa waziri , Waziri Mkuu au Rais inayotiliwa maanani na wananchi kuzidi kesi ya uongo ya Ugaidi , maana ya jambo hili ni kwamba hakuna kiongozi yeyote katika niliowataja anayeaminiwa na wananchi kuzidi Freeman Mbowe , ukitaka kujua zaidi hebu angalia mambo mazuri kama Wachezaji wa Twiga Stars kupewa viwanja , habari hii nzuri imepuuzwa kabisa na watanzania kwa vile wote wanaangalia Mahakamani kwenye kesi ya Ustaadh Aboubakar Mbowe , nimeshangaa sana !

Hili kwetu ni funzo kubwa sana .
 
Nenda huko mtaani utaona watu wapo busy kutafuta dona la kula na familia zao hiki unachokiongelea hapa kinabaki hapahapa jukwaani mtaani wa hawana habari!
Truth is kila mtu yupo bize kutafuta riziki. Hakuna ambae haangaiki. Ila haimaanish watu hawasikii hiyo habari.
Labda isitangazwe na vyombo vya habari ndio watu hawato jua wala kufuatilia
 
View attachment 1990212

Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa ndiye MTU MAARUFU KUPITA WOTE WALIO HAI NCHINI TANZANIA KWA SASA .

Hii ni kwa sababu hakuna taarifa yoyote sasa , iwe kutoka kwa waziri , Waziri Mkuu au Rais inayotiliwa maanani na wananchi kuzidi kesi ya uongo ya Ugaidi , maana ya jambo hili ni kwamba hakuna kiongozi yeyote katika niliowataja anayeaminiwa na wananchi kuzidi Freeman Mbowe , ukitaka kujua zaidi hebu angalia mambo mazuri kama Wachezaji wa Twiga Stars kupewa viwanja , habari hii nzuri imepuuzwa kabisa na watanzania kwa vile wote wanaangalia Mahakamani kwenye kesi ya Ustaadh Aboubakar Mbowe , nimeshangaa sana !

Hili kwetu ni funzo kubwa sana .
Ndio hayo tena...🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa hivi mnajivunia kufunika ktk kesi?? Mama aendelee kuupiga mwingi kwa kukabia juu...
 
View attachment 1990212

Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa ndiye MTU MAARUFU KUPITA WOTE WALIO HAI NCHINI TANZANIA KWA SASA .

Hii ni kwa sababu hakuna taarifa yoyote sasa , iwe kutoka kwa waziri , Waziri Mkuu au Rais inayotiliwa maanani na wananchi kuzidi kesi ya uongo ya Ugaidi , maana ya jambo hili ni kwamba hakuna kiongozi yeyote katika niliowataja anayeaminiwa na wananchi kuzidi Freeman Mbowe , ukitaka kujua zaidi hebu angalia mambo mazuri kama Wachezaji wa Twiga Stars kupewa viwanja , habari hii nzuri imepuuzwa kabisa na watanzania kwa vile wote wanaangalia Mahakamani kwenye kesi ya Ustaadh Aboubakar Mbowe , nimeshangaa sana !

Hili kwetu ni funzo kubwa sana .
Mungu ibariki CHADEMA
 
Hii kesi ni kama series moja kali sana ambayo kila mtu anatamani isiishe.

Kesi ya Mwamba ni kama Game of Thrones wakati upande wa pili ni kama Original Comedy

Kesi ya Mwamba ni kama Squid Game wakati upande wa pili ni kama Nsyuka
 
Nenda huko mtaani utaona watu wapo busy kutafuta dona la kula na familia zao hiki unachokiongelea hapa kinabaki hapahapa jukwaani mtaani wa hawana habari!
Masikini wengi wanaendelea kuwa masikini kwa sababu wao kutwa kucha wanawaza kula tu
 
View attachment 1990212

Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa ndiye MTU MAARUFU KUPITA WOTE WALIO HAI NCHINI TANZANIA KWA SASA .

Hii ni kwa sababu hakuna taarifa yoyote sasa , iwe kutoka kwa waziri , Waziri Mkuu au Rais inayotiliwa maanani na wananchi kuzidi kesi ya uongo ya Ugaidi , maana ya jambo hili ni kwamba hakuna kiongozi yeyote katika niliowataja anayeaminiwa na wananchi kuzidi Freeman Mbowe , ukitaka kujua zaidi hebu angalia mambo mazuri kama Wachezaji wa Twiga Stars kupewa viwanja , habari hii nzuri imepuuzwa kabisa na watanzania kwa vile wote wanaangalia Mahakamani kwenye kesi ya Ustaadh Aboubakar Mbowe , nimeshangaa sana !

Hili kwetu ni funzo kubwa sana .
Yani jana naingia bar, naagiza K Vant. Ile muudumu anafanya maarifa iingie kwenye glasi nasikia ananiuliza "hivi kesi ya Mbowe kesho inaendelea?"
 
Vijana wa Chadema hadi aibu, yaani mmekuwa brainwashed na Div 0 ya Form 6, nyie kweli ni janga la Taifa, nani anajua hata case ya Mbowe kuna nn, who cares? Ebu ulizia mitaani, wala hakuna mtu anaongelalea, tatizo lenu nyie CDM mnamuona Mbowe ni Mungu mtu huko kwenu. Huo ni unyumbu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata hafikii nusu ya umaarufu wa Hangaya,Labda kule Hai na Machame.
 
Vijana wa Chadema hadi aibu, yaani mmekuwa brainwashed na Div 0 ya Form 6, nyie kweli ni janga la Taifa, nani anajua hata case ya Mbowe kuna nn, who cares? Ebu ulizia mitaani, wala hakuna mtu anaongelalea, tatizo lenu nyie CDM mnamuona Mbowe ni Mungu mtu huko kwenu. Huo ni unyumbu.
Shangaa kwa kipi hasa alichofanya ktk nchi hii?
Katika wagombea urais wa upinzani waliowahi kutikisa nchi hii hayumo.Maana yumo Mrema,Slaa, Lowassa.
Umaarufu unatokea wapi?
Wajaribu kuitisha maandamano ili kumuokoa waone ni watu wangapi watajitokeza,Kama siyo kijikundi Cha watu walikuwa wananufaika na ruzuku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom