Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

Unawazungumzia wanawake au wasichana?

Alaf kwa kukukadiria, umri wako ni below 25
 

Inategemea mliachanaje?
Mwanaume mwingine ako na misimamo mikali , ukimkosea heshima pakubwa kwa matusi mazito na kumaliza Maneno yote bila kumstahi hakunali kukurudia.
Anakukinahi mazima hata ukamroge maana wanaume wengine nao hawaishigi kizembeze.
Wanajua kuchukua tahadhari za mara kwa mara.

Kwenye mahusiano respect is fundamental.
 


Sasa wakati wa kumrudia ukikuta kuna mwanamke mwenzio ameshachukua nafasi inakuwaje?
Ulijitia wazimu wa kuondoka sababu umekuta meseji ya mchepuko Halafu unajitoa ufahamu kutaka kurejea?
Maana umejifunza hutashika simu yake tena na kupekua?
Ni afadhali pale mwanzoni kutumia hekima kuliko kujitia wazimu.
 


Wanaume wenyewe unaambiwa anapenda siku 90 za Mwanzo tu baada ya hapo inabaki mazoea na heshima tu baasi!

Ndio maana huwa nawaambia wanawake usijiminishe kuwa Eti unapendwa kiivyooo 🤣🤣🤣
Eti oooh nimemzalia watoto,
Umempa Lis au mmezaa wote?!

Swala la watoto wala halihusiani.

Mwanamke ukikosa hekima ukajitia upumbavu mume ukamchosha
swala la watoto Halina nafasi yoyote ya kukufanya akupende ,
Halina uhusiano .
Utaondoka , Mwanaume mwingine anakwambia chagua ukitaka kuondoka nao Sawa tu ilimradi usinitake hata 100 ya matumizi, ukitaka waache nitawalea na kuwasomesha.

Kazi ni kwako.

Basi hapo ndipo mwanamke utashushuka 😆😆

Utajibaraguza weee! 😅
 

Maskini hapendagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…