"Ukweli ndio huu"

Ni kweli kabisa wewe una tatizo nao vp kuhusu wao?? Ndio maana kuna msemo unaosema USIUSEMEE MOYO WA MTU
Sitaki kuusemea moyo wa mtu ndio maana nikasema sijui wao kama wana wanayowaza ila wanakufa kiofisa!
 
Kikubwa ni mtazamo uliojijengea,we ukiona kwako haiwezekani ni kweli haiwezekani ila kwa wengine inawezekana sana tu.
 
Tatzo lingne itakujua kutokea emergence cku 1 husiamini
Sitaki kuusemea moyo wa mtu ndio maana nikasema sijui wao kama wana wanayowaza ila wanakufa kiofisa!
 
Unaweza tu kuwa umedanganywa au umejidanganya

Mbona hilo linawezekana tu?
Tena kwa kiwango kikubwa sana!

Kuwezekana inawezekana sema kwa asilimia ndogo sana ila kwa walio wengi wanaishia kwenye mapenzi
 
Hapo ukweli 1% tena hao wanawake mvuto 0, itakuwa sawa..
Wanawake 7 wenye dizaini tofauti tofauti ya maumbo useme wote 0 feelings. Labda kuwe na itilafu wa umeme. Maybe nguvu ya umeme ( voltage ndogo zana) kama voltage za wire za antenna.

^^
Tatizo ni kuwa mnajenga urafiki huku mioyoni mna dhamira tofauti na urafiki.. Mkiweka wazi dhamira zenu mnakimbilia kuanzisha thread za malalamiko ili dunia i-justify dhamira mbovu mlizobeba.
^^
 
Mh kazi kweli haukupata marafiki wa dhati wewe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuwezekana inawezekana sema kwa asilimia ndogo sana ila kwa walio wengi wanaishia kwenye mapenzi

Siamini kama na wewe umejidangany au kudanganywa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…