englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Nov 8, 2013 #1 Wanawake bwana, anagombana na wewe dakika 40 nzima anaongea halafu anamalizia "hata sina muda wa kugombana na wewe"!
Wanawake bwana, anagombana na wewe dakika 40 nzima anaongea halafu anamalizia "hata sina muda wa kugombana na wewe"!
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Nov 8, 2013 #2 awe mwimba taarabu sasa!
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 8, 2013 #3 Ahahahahahaja hizo dakika 40 ilikua trailer tu hata mchezo wenyewe bado thats why anasema hivo lol
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 8, 2013 #4 24hrs said: awe mwimba taarabu sasa! Click to expand... Hahahahaha lazima ukome...maana atakuchambua kama karanga lol
24hrs said: awe mwimba taarabu sasa! Click to expand... Hahahahaha lazima ukome...maana atakuchambua kama karanga lol
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Nov 8, 2013 #5 usigombane na mwanamke Nalog off
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,582 Reaction score 3,272 Nov 9, 2013 #6 englibertm said: Wanawake bwana, anagombana na wewe dakika 40 nzima anaongea halafu anamalizia "hata sina muda wa kugombana na wewe"! Click to expand... MANAUME WA KWELI lumbani na mwanamke
englibertm said: Wanawake bwana, anagombana na wewe dakika 40 nzima anaongea halafu anamalizia "hata sina muda wa kugombana na wewe"! Click to expand... MANAUME WA KWELI lumbani na mwanamke