Ukweli mgumu/hardest truth

mujimali

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
190
Reaction score
116
Habari zenu wanaJF. Eti ni ukweli gani mgumu(hardest truth) ambao ushawahi kuambiwa either kwenye mahusiano, eneo la kazi, shule, mtaani n.k.? I mean jambo ambalo uliambiwa likawa gumu kulipokea au hata kulisahau pia, lakini mwisho wa siku ilibidi ukubaliane nalo kwa sababu ndo ukweli wenyewe.

Asanteni.
 
Siku nilivoambiwa kuwa nina kichwa kizito dah ni ukwel ambao ni mgumu
 
Sikumbuki kuambiwa ujinga sababu ukiniambia tu ujiandae kujirudia kwako Tena Kwa vitendo
 
kwamba ulevi mbaya nikaona nazinguliwa ila nayaona waz madhara yake .......
 
Nilipo ambiwa mm mnene wakat nafanya diet haswa

Basi nika kubali tu asili yangu ya unene
 
Siku nivyoambiwa lowasa kashindwa
Dahhhh!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…