Ukweli mgumu ambao nimelazimishwa kuamini

Ukweli mgumu ambao nimelazimishwa kuamini

Daah aisee hapana....mi sintoweza vumilia. [emoji23][emoji23]

Hebu vuta picha unachapiwa na mtu mithili ya mbeba zege (watu wana mchambisha vya kutosha huko)....na ww huku ushazoea kufia kifuani. Tehe [emoji23][emoji23]
Jiuzulu maisha mkuu huo ndiyo ukweli.
 
Wangu memruhusu apigwe tu ila atumie kinga au wakapime kabla.
Mwiko nlompa asipigwe akiwa na ujauzito au baada ya kujifungua.

Hahahaha what a man...

What a gentleman....

What a husband...

A wise man ....though...
 
Wazazi wako Bado wapo pamoja? Ina maana Baba yako anajua maovu ya Mama yako ila anakausha

Kabla ya kumsema mwanamke yeyote kwa lolote mfikirie kwanza mama, Dada yako au mwanao wa kike. Kuchora wanawake wote kwa brush moja ni upuuuzi
 
Ambonyi,

Leo Kama ilivyo Ada ya kila mwisho wa week siku Kama ya leo nilikuwa nimekaa mahali napata tuchupa twangu tuwili tutatu.
Kwa pembeni yangu akaja mzee wangu wa siku nyingi, akanijoin pale tukaendeleza libeneke. Katika kuongea ongea ikaibuka stori nikamuuliza mzee: hivi umewezaje kukaa kwenye ndoa kwa miaka yote hii takribani 40???

Mzee akaniambia, unataka kujua ukweli... Na mm kwa kiherehere changu nikamwambia mwaga.
Mzee akasema

"tatizo lenu nyie vijana mnawafuatilia sana hawa wanawake zenu... Ukishamuoa mwanamke jua umelima miwa karibu na Shule ya msingi, Kama ni wa kupigwa atapigwa tu. Mimi mama yenu naweza kujua kabisa ujinga wake, lakini kwa sababu ananiheshimu na hakudhamiria kunionyesha, najisahaulisha. Kwa hiyo kijana wangu Mkeo atakuwa anapigwa tu na usimfuatilie sana. Waza mambo ya maana."

Alipomaliza Hilo nikanyanyua chupa yangu nikagigida funda la mwisho, nikasimama nikamwangalia mzee nikapukuta miguu nikala kona.

Ukweli mgumu, ila nimeupokea.
Mmmh may be sio mke
 
kwan na upande wnu vipi? hakuna vikwanzo vya namna hiyo? au wanawake tu ndo wnye kuchepuka (vyanzo vya ndoa kuvunjika))) ???
Baby beauty girl,kwani wewe unaonaje baby?,nimekuelewa upande mmoja lakini upande wa pili umenimix,hebu kuwa narrative please mamii,nina hamu na uchanganuaji wako coz nakuona kama prominent fulani hivi au?
 
Daah aisee hapana....mi sintoweza vumilia. [emoji23][emoji23]

Hebu vuta picha unachapiwa na mtu mithili ya mbeba zege (watu wana mchambisha vya kutosha huko)....na ww huku ushazoea kufia kifuani. Tehe [emoji23][emoji23]
YAANI WANAMCHAMBISHA HUKO,DAAH WAPI HUKOOO MKUU HEBU WEKA WAZI BHANAAAAA AU?
 
Hata mim hyo mbinu huwa naitumia,tena sumtime nikiwa spo huwa namwambia kiutan kuwa aksikia ham achepuke ila azngatie matumiz ya kondom,ila pia mi huwa naamin mpenz wang huwa hanisalit
 
Back
Top Bottom