Ukweli mchungu

Motivational speaker..sio kila mtu anaweza kufanya biashara tusipotoshane! Kuna watu wao kuajiriwa ndio wanachokiweza.
 
Ni kweli yeye mwenyewe karithi biashara ya baba yake na ana muaandaa muhoho aje kimrithi.
 
Asemaye hayo ni Rais ambaye ni mtoto wa Rais wa Zamani
 
Motivational speaker..sio kila mtu anaweza kufanya biashara tusipotoshane! Kuna watu wao kuajiriwa ndio wanachokiweza.
Umeilewa lakini. Mfano, Tupo wengi ambao baba ni mwajiriwa mama ni wa nyumbani tu. Ikitokea ishu yoyote kazini au kifo kwa baba, maisha yatakuwa je. Ndio maana tunatakiwa tujiongeze baada ya Masaa ya kazi.
Wapo wenye bodaboda, daladala, maduka, mashamba na ufugaji nk.
 
Nimekusoma kaka..uko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…