UKWELI MCHUNGU

JIS

Member
Dec 5, 2011
73
48
Nimpongeze JPM kwa hatua za uzalendo anazoendelea nazo kulinda rasilimali za Taifa. Baada ya taarifa ya makinikia kusomwa aliagiza watendaji wote kuanzia 1998 washughulikiwe kwa kuchunguzwa. Ninajiuliza swali, hivi baada ya kushughulikia uozo uliokuwepo pale bandarini na kuwezesha mapato kuongezeka, kwa nini hakutoa agizo kama hilo la kuwachunguza wote waliokuwepo miaka ya nyuma? Just curious.
 
Back
Top Bottom