Nyongeaza, Elimu ya tanzania inafundisha story za masomo tuyasomayo na ndi maana wengi wetu unaweza kuta performance yake ipo vizuri ila ukimpeleka kwenye vitendo hamna kitu.
Hili Serikali imeliona na ndiyo sababu kwa sasa kuna kitu kinaitwa competence-based curriculum ambayo ni tofauti na ile ambayo ilikuwa teacher-centred. Tatizo ni kwamba bado walimu hawajaelewa jinsi ya kuimudu kwa hoyo bado wanafundisha wanafunzi past papers ili waweze kufaulu mitihani. Ila kama walimu watapata orientation hii hali itabadilika na hivyo kuwafanta Watz kuweze ku-compete kwenye soko la ajira au kuwa na ujuzi wa kujiajiri wenyewe.
Asilimia kubwa ya wasomi wa kibongo wanauzika sana na wengi wanafanya vitu vyao katika nchi za US, UK, UAE , Canada na nyingine nyingi duniani tena wana vyeo vya juu. Hata baadhi ya waajiri kuwaomba Wabongo waliowaajiri kuwapendekeza Wabongo wengine kwa waajiri hao ili nao waajiriwe. Wabongo hao wengi wamejijengea sifa ya uchapakazi, uaminifu, uelewa mkubwa wa kazi zao, kutokuwa walalamikaji.
Huyo mwalimu unaesema afundishe kwa huu mfumo mpya, yeye ameusomea wapi huo mfumo kama akusoma ule mfumo wa kukalilisha?
Katika kupinga hoja yako iliyojaa dharau na kejeli kwetu waTanganyika tulioajiriwa nje, nitaanza na hiyo picha yako. Hiyo Laptop ipo on, na webcam inarecord uchafu unaofanywa na huyo prostitute kwa mikono yake kustarehesha wengine. Kwa akili zako zilivyo ndogo ulidhani its funny kuweka uchafu. Kwa kuwa wewe ni mchafu, mshamba na usiyejua athari za picha kwa wakwe zako au wazazi wako. Kuhusu mada uliyoleta, kuna maswali mengi naomba nikuulize. Je unayo takwimu za wabongo wote wanaoishi nje? Je uliwasiliana na employers wa nje kupata maoni yao kuhusu wabongo? Je uliongea na wabongo wangapi na wa nchi ngapi mpaka ukafikia conclusion hii? Nini nafasi yako na elimu yako kwa ujumla?Naomba tu Busara itawale katika kujadili hii mada....
BAK uko sahihi sana mkuu, yaani mimi ninamarafiki ambao wameajiriwa UK, USA, CANADA NA SA ambao kwanza utashangaa mambo wanayoyafanya. yaani mimi nilimshangaa mama mmoja anaitwa Hulda swai yaani ukiona team yako na jins alivyo excell utashangaa. ana run centre yenye watu zaid ya 100 ambao wanafanya kazi chini yake na wote wanaperform vizuri.Asilimia kubwa ya wasomi wa kibongo wanauzika sana na wengi wanafanya vitu vyao katika nchi za US, UK, UAE , Canada na nyingine nyingi duniani tena wana vyeo vya juu. Hata baadhi ya waajiri kuwaomba Wabongo waliowaajiri kuwapendekeza Wabongo wengine kwa waajiri hao ili nao waajiriwe. Wabongo hao wengi wamejijengea sifa ya uchapakazi, uaminifu, uelewa mkubwa wa kazi zao, kutokuwa walalamikaji.
Mentor, Kwa mtazamo wangu msomi ni yule anayezalisha maarifa baada ya tafakari kubwa na ya muda mrefu. Mtu anayejiuliza maswali na kupata majibu ili aweze kuisaidia jamii hapa duniani.