Ukweli mchungu: Ndoa bila watoto sio ndoa

Ukweli mchungu: Ndoa bila watoto sio ndoa

Ndugu naomba nikusadie kitu kimoja kama ni mkristo lakini, KUSUDI KUU la ndoa haikuwa watoto BALI ni kuondoa UPWEKE uliokuwepo kwa Adamu baada ya kuumbwa na Mungu. Kupata watoto,kusaidiana,tendo la ndoa na mengineyo no makusudio madogomadogo ya ndoa,lakini kusudio KUU kabisa ni kuondoa UPWEKE! Rejea Mwnzo 2:18.
 
Kuna wengine wamezaliwa hawana uwezo wa kuzalisha...acha kukariri kuna watu wengine wanaona ni blra kuolewa kulilo kukaa peke yake wengine wanaona furaha yao ni kufanya wanachokitaka i.e. kusafiri, kununua unacho kitaka kwaio kuoa kua na mtoto kama ishara ya furaha hapo umefeli furaha ni relative term pia ni subjective mfano mimi binafsi i dont like babies...for real...
 
Nafikiri unapotosha jamii ukisema WAMECHOROPOA, WAMECHEZEA UJANA WAO wako wanaochoropoa usiku na mchana na bado wanazaa, wangine wanafungwa vizazi bado wanazaaa! msituhukumu tusiozaa, ni majaliwa! aliyewapa nyie hao watoto ndiye aliyetukosesha sisi!


Mbona hoja yako haiendani na nilichochangia??!Nafikiri utakuwa umekosea .... soma vizuri posti yangu usijenilaani bila kosa!
 
Bila kujibaraguza na kukaza uso...ni nani anapenda ndoa yake ikose mtoto/watoto?Hasa familia za kiafrika?Na anyooshe mkono kimoyomoyo..!Natabasamu kwa sauti!
 
Aiseee wanandoa wengi ambao hawajabarikiwa watoto na haswa ikigundulika/bainika mwanamke ni tatizo basi uvumilivu wa kindoa utaisha na safari ya michepuko ndo inapoanzia.
 
Back
Top Bottom