Ukweli mchungu: Lowassa ameshatoswa na CCM

Lowassa mwenyewe hajawahi hata mara moja kutamka anataka kugombea urais ila panyarodi mmejawa hofu tele.
 
Chabruma anatetea mafisadi wote wa CCM except Lowasa ....... Hii ni kambi gani ndani ya CCM! ?
 

Hiyo mikwara tu. Hata amani huijui. Kojoa ukalale labda viroba toka Malawi vitapungua akilini kwako
 
Kosa halalishi kosa lingine kutokuwa kosa. Msuya kutokuwa mwadilifu sio tiketi ya kumfanya Lowasa asiwe mwadilifu. Kinana, Katibu Mkuu wa CCM kutokuwa mwadilifu sio kinga ya Lowasa asipokuwa mwadilifu pengine kutokuwa mwadilifu kwa Rais Kikwete limekuwa darasa zuri kwa watanzania waliotayari kujifunza kutokumchagua raisi asiye mwadilifu, makini na anayechekacheka tu hata kwa mambo yanayohitaji umakini wa ziada. Madhara ya kupuuzia kumtafuta raisi mwadilifu katika uchaguzi uliopita imekuwa fimbo ya kuwachapia watanzania wote matakoni mwao. Uchumi mbovu, serikali haina fedha, kila siku ni ukwapuaji. Mara EPA, mara ESCROW na wahusika hawachukuliwi hatua.
Sasa wewe ndugu yangu, umesalimu amri, unataka kila rais awe fisadi, nchi ya mafisadi? Hapana kuna watanzania wamechoka hawataki tena rais fisadi kwa manufaa ya wao na watoto wao, kama wewe hujaliona hilo. AMKA na BADILIKA. Acha kukata tamaa.Kataa mtu asiye mwadilifu kupitia sanduku la kura.
 
Mm huwa najibu kwa maswali hivi mnapomkataa e.l mnamtaka nani.? Membe,sita, pinda au jibu kwa mnaofikiria hivo mnabugi.. You have eyes to see, ears to hear just wait and see achen kuruka ruka. E.l is next tz president
 
Kwani Roman ndo pekee inayotakiwa kutawala nchi hii? Mkombozi Bank inamilikiwa na akina nani? FISADI ni nani kati yao na Lowassa? Watanzania si wajinga tena kiasi cha kugeuza vita kati ya Roman Catholic na Lutheran ...

toshe kusema data n facts ndo njia pekee ya kumzuia Lowassa siyo porojo.... Huyu Pengo aliekataa serikali 3 kwa maslahi ya nani?

 
Rais ni Lissu,nyinyi wengine gombaneni mpaka muuane!!!??
 
Mleta uzi una point. CCM wameshaona Lowassa atafaranisha chama. Ni kweli Lowassa ana uwezo wa uongozi lakini pia ana tatizo la ubabe wa kimorani. Kama haupo upande wa Lowassa basi ujue wewe umekwisha. Sasa hapo ndio wale walio nje ya Team Lowassa matumbo ni moto. Lakini Team Lowassa pamoja na nguvu mliyo nayo msije mkafikiri mmeiweka CCM mfukoni. Muwe tayari kujitoa CCM na kufungua chama kipya pale mtakapoona dalili kwamba morani wenu atatemwa. Wengi walio nje ya team Lowassa wameshaona hizo dalili.
 
Kweli lowassa sawa lkn waziri mkuuu awe magufuli ili baraza la mawaziri lipunguwe.
 
Rais atatoka UKAWA.
If not Tundu Lissu its Dr Slaa
 
Atoshwe asitoswe na chama cha Escrow ss watanzania tutamsimamisha kuwa tais wa JMT 2015/2025!!
 
Atoshwe asitoswe na chama cha Escrow ss watanzania tutamsimamisha kuwa rais wa JMT 2015/2025!!
 
Wapo vyuoni wanaojiita team Lowassa njaa zitawaua...mwisho wake aibu sana naliombea hili SAY NO LOWASSA
 
Nasikia Lowasa ni manager mzuri (get work done) lakini sio leader mzuri (myopic)!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…