Mleta mada kaongea kwa hisia sana, nahisi yeye ndo Mwenyekiti wa chama chakavu Arusha. Some times you have to tell yourself the truth even though you don't like it. Lema anapendwa Arusha hakunaga!Mungu hajatwambia mwisho wa dunia naamini hata binadamu hastaili kumtabiria mwezie mabaya wakati hajui dakika ijayo itakuweje
Mkuu siasa ni kazi na inaleta burudani kama mnafanya siasa safi na hoja zilizo shiba lakini kama siasa inafanyika kwa kuchafuana inakuwa haina maana mleta maada naona hakujua anacho sema ila anajua alicho tumwaMleta mada kaongea kwa hisia sana, nahisi yeye ndo Mwenyekiti wa chama chakavu Arusha. Some times you have to tell yourself the truth even though you don't like it. Lema anapendwa Arusha hakunaga!
wewe mwisho wako lini? maana naamini wewe sio MunguTanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Uko wapi sasaAisee sio kwa Arusha ninayoijuaa.. Huijui Arusha wewe mtoa mada
Unajua kinachotokea leo hii arusha?wahi ngarenaro.Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Imekuingia hiyo!Kama mama Ryan babel anavyowekwa
Labda Afe ndio utakua mwisho wake jimbo la ArushaTanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Kweli kabisa mkuu,Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Lema ameshindwa vipi kuyahubiri maendeleo wakati Lema ndiye anayeibua maaendeleo mpaka CCM wanapora yale yanayobuniwa na kuendelezwa na Lema na kuyafanya ya kwao kama walivyo fanya kwenye hospital ya mama na Mtoto na wanavyo wafanyia madiwani wa Arusha kwa kuwa wanatokana na CHADEMA.Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Kumbuka wema ndiye mpiga debe wa makamu wa raisi kumbukumbu ni muhimu kwakukosa kumbukumbu faida yake muulize bashitehivo ndivo zilivo akili za Team Wema
Nshamalizana nae mkuu