Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,678
- 6,754
Kiki mnampa wenyewe na mnalalamika wenyewe. Hata 2015 mlisema hapiti. Muache kulia lia na kumkamata kamata, kisa mnawaridhisha wakubwa wenu! Mkitaka asikuze jina lake mwacheni hivyo hivyo!Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Nirahisi kwa twiga kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CCM kumshinda Lema Arusha.Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Naona unatuadisia ndoto yako ya mchana. Karibu Kwenye mkutano Leo saa tisaTanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Muulize Monaban , hata kile kiwanda cha unga kanyang'anywa .Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija
Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Acha unafiki na uwongo lema,tupo nae tena sasa hivi ndo usiseme anakubalia Mara milioni,Leo njoo uone watu na mbunge waoo.Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija