Ukweli Mchungu kwa Waafrika

Ukweli Mchungu kwa Waafrika

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Jisomee mwenyewe
IMG-20210109-WA0004.jpg
 
HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NAMUOMBA ASIJE TANZANIA HUYU WASIOJULIKANA WATAFANYA YAO

Kinachouma zaidi ni haya maneno YOU ARE NOT THAT IMPORTANT AND YOU ARE NOT A THREAT.
 
Amekosea mbona izo bidhaa ni za marekani sio ulaya
 
HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NAMUOMBA ASIJE TANZANIA HUYU WASIOJULIKANA WATAFANYA YAO

Kinachouma zaidi ni haya maneno YOU ARE NOT THAT IMPORTANT AND YOU ARE NOT A THREAT.
Maneno yake ya mwisho yanasadifu ubaya wao kwetu sisi Waafrika.
 
Maneno yake ya mwisho yanasadifu ubaya wao kwetu sisi Waafrika.
Sio kweli, US anasema China na Russia ni threat kwa uchumi na usalama wake, nawao wanamtuhum US hivyo hivyo.
Sasa tishio la Afrika ni nini kwenye Dunia?
 
Kasema kweli tu hapo, tupewe chanjo au tuache, ni chaguo letu. Afrika wengi wana doubt hii chanjo wakati tangu zamani tunapewa chanjo za kuzia magonjwa mengine kuanzia kuzaliwa kwetu ndio maana tuko salama kiafya sahi. Hii ya Covid 19 ndio tunahofia yaja kutuangamiza sisi Waafrika. Tubadilishe mawazo yetu jmn!

✌️
 
Unge mtumia jiwe kabisa ausome huo ujumbe.
 
Back
Top Bottom