Hii kauli ya Jomo Kenyatta RIP kwa Watanzania kwa yanayotokea kuna ukweli ndani ijapokuwa mchungu

Jomo Kenyata alishawai kusema:

"Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupoba mda wowote na wakadai vyao,

Wakenya ni sawa na walio lala usingizi mda wowote wanaweza kuamka na kudai chao,

Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.

Mwambie huko Kaburini kuwa Tathimini ya Dunia kwa sasa ( 2017) Tanzania kuna Uhuru wa habari kuliko Nchi zote za EA japokuwa Uhuru huo umeshuka ukilinganisha na 2015 lakin bado tupo juu ya Kenya
 
Ni yapi hayo yanayotokea sasa yanayoendana na aliyosema marehemu Jomo?
 
Na inaonekana kweli walikuwa usingizini sasa wameamka, ukabila umefikia kiwango cha kuuana wao kwa wao, ufisadi wanaongoza Africa Mashariki., juz tu hapa wizara yao ya afya imenyimwa msaada SBB ya ufisadi. Kwa kweli walikuwa wamelala...
 
Sijui ya mwalimu Nyerere yameisha! Sasa yameanza ya Jomo, yakiisha yatakuja ya Obote. Duh! Comrade unaweza kutuwekea source ya hiyo quote yako? Kama ni hotuba tuaidie kujua ni hotuba gani na ya mwaka gani ili sisi matomaso tukajihakikishie wanyewe.
 
Hiyo kauli mbona ukweli ulio uchi kabisa.. Wewe hauoni watanzania ni watu wenye tofauti za ajabu sana ukilinganisha na majirani zenu wote wa Afrika mashariki.
 
Kenya wana matatizo mengi,tatizo baadhi ya watanzania ni washamba mnawashobokea sana si muende mkaishi huko
 
4e8f7fdbfcd7340b5720c105d269821f.jpg
 
kutiana ujinga tu... embu tusikilizishe hata audio kama kweli alisema hayo maneno! pole kwa mvua zinazoendelea...
 
Back
Top Bottom