Bwana weee unavyoona watu km ivo ndo na wewe wanakuona ivovivo!!……...sasa tumalaumu nani >??????? Mie nawashauri hivi!! Mtu hawezi kupenda hela yako bila kihere here chako cha kujionyesha hovyo kuwa unazo!!
kwa hiyo wewe mwenyewe ndo unajitesa! …….adui yako ni weye mwenyewe wala usiwalaumu….. watu wako sahihi siku zooote!! hata wewe unapenda hela za wengine hakuna mtu asiye zipenda hela!!
UfANYE NINI SASA.??
1. wajue watu walivyo!......uwache kimbele mbele na kisebu sebu! ndo kinakuumiza then! unakuja humu kulaumu watu hovyo…..hakuna asiye taka Maisha mazuri.
hata shetani alitaka raha anazo pata Mungu yakamkuta makubwa mpaka leo anogea sufuria ya mkaa!....hata kama ni wewe mtu akikutaka urafiki na anazo amua, kukulisha vinono uta-kataa??
SASA kama wao hawana tabia za utoaji km wewe , watakupa nini? usilazimishe tabia zako ziwe km wao hilo ni ni kosa lako kisheria kwani walikulazimisha muwe marafiki??
lengo lako ulitaka kujionyesha kuwa una pesa na kweli waka kupa company ya kujionyesha kwanza ilibidi uwalipe, kwa kuwatumia kujionyesha kwako, je ulifanya ivo?? km siyo kawalipe!
kwa sababu kwa kuonekana kwako ukiwa nao ni gahrama kwao pia, sababu walitumia muda wao! sasa shida yao iko wapi???, haujakimbiwa ila umeishiwa wakija watkula nini Zaidi ya kukuonea hruma??
OK! unafaa kukimbiwa! tena siyo kukimbiwa tu! km wana nguvu wakupige na Makofi/Mijeredi ili akili ikae sawa!! maana weye ni mgonjwa wa akili ambaye unafaa kuuguzwa na Mama yako tu!
wkt zako za kuvuruga zimekwishaa na kutumia muda wao kuburudika nao, sasa unawalili wakufanyje sasa? make kumbuka hata wao wanajua maana ya muda walioutumia wakiwa na wewe si ndiyo bana?....
.lkn pia ujue kuwa wao walikuwa na akili ya Malengo yao, pia utunzaji na kufanya maendeleo yao binafsi kosa lao ni lipi! km uliwapenda endelea kuwapenda siku ukipata tena uwarudie!
wewe zako zile zilikuwa za kuvuruga na kuwapa maskini! na ndivo ulivo amua sasa shida yao nini?? hata wao walikuwa na Malengo binafsi je uliwasaidiaje??
Hata km wamepata wao! wanajua wao kuwa kuna fursa na wakt hukuta!! sasa unataka wakavuruge hela zao km weye? ndo tatizo lenu kubwa mlivyo vilaza wengi wa Bongo nyie!
Burudika na hali yako kimya kimya!! wala usiwalaumu wako sahihi! usitake wawe vivuruge km weye. ndo mnapokoseaga vivuruge wengi! tena na nisi kusikie tena! eti unawalaumu..
.katafute upyaaa! ili upate marafiki wengine wapya, wale halafu wakukimbie tena mana ndo akili zako zilivyo!! tatizo unataka wawe km weye! ndo hapo mnaanza kulalamika!
kwanza maskini wa watu hata hwakujua kuwa ndo izoizo tu ulizo nazo, au wlijua?..km hawakujua unawalaumu nini sasa??...wenzako tunakula ziada, km zindiko, wewe unakula mtaji!
sasa wao wangejuaje kuwa hizo zako unazo tapanya ni za zindiko au mtaji?......uliwashirikisha?? wanajua ulizitoa wapi??
Ukome kulisha watu hovyo eti ili wakulishe! wkt ni vijicent vya mawazo......uki mind kula/kunywa mwenyewe. chumbani humo mpaka upasuke na pressure uone km mtu atakuja kukupigiua hodi!!….
kwani kwa kufanya hilo nani atakuuliza au kukupeleka polisi? wana JF hebu mnisaidie kumfundisha huyu mwanafunzi kilaza?..sasa eti analalama Mamma!!!!!!!amaaaaa! heee wewe ungekuwa karibu ninge kupiga makofi ukome!
Kujipendekeza ujipendekeze wewe!! halafu eti uwalaumu wao! walaji mweee! kamapani waliyo kupa na kuchazea muda wao ilipwe na nini?? km hujarogwa ni nini hicho??kamlaumu aliye kuroga!!!..si uliwahitaji wakajitokeza sasa? Ok1 niseme sana ila laaa….. pili!
2. wa-fanyie confusions!...….hapa akili inatakiwa sana…...fanya mambo kinyume na yalivyo ili wabaya wajitenge na wazuri!..wajue umechanganyikiwa lkn siku ukisanua watakuogopa na hawatakuelewa..
3.Usijionyeshe unazo! bali fanya/ishi kinyume na mwenye pesa lkn km unazo! kamwe usifanye km hunazo! utayamba kifukuto!
4.Usijipendekeze kiasi cha kujidhalilisha!
5.kama huna hela jifanye unazo, na inua mabega juu! ongea kiingereza ili wenye nazo wakupe thamani na michongo!
6.Omba sana kwa mwenyezi Mungu wa mbingu na nchi akupe Maarifa mengi hii ndo linafaa kuwa la kwanza!
7.Kuwa wa kawida mno..usijinukishe eti unapesa!...ile ya kusema eti pesa haijifichi ni uongo! tena wa kimaskini!
8. Tembea na Msamiati huu! kamwe usiuache kapuni '' Mie ndo adui wangu mwenyewe tena kwa nafsi yangu!!'' watu utawalaumu buuure! ukose wa kukuzika. hakuna asiye penda pesa!
9. Weka mipaka kwa yeyote umpendae! ndo huwa wanakinukisha sababu yeye hataingia rohoni mwako ajue kiasi unavyo mpenda,... lkn pia hata kama anajua, kuwa unampenda lkn anaamini Binadamu hubadirika!...
muonyeshe vitu tofauti na ulivyo!! kwa sababu unampenda akikusaliti, italeta matukio tofauti yenye mafanikio, wasaliti wetu mara nyingi ukiwa ana akili wanasaidiaga sana!!
Huyu zidisha kumpenda tu hata km akionyesha uadui kwa kuwa ''ADUI MPENDE ZAIDI'' anakuonyesha njia ya mafanikio!!..kuliko Rafiki anaye kupenda huyu atakusifia na utabweteka!
10. Asiye kupenda km nilivo sema atakusababishia wasi wasi na ''wasiwasi ndo Akili'' alisema Jakaya mrisho kikwete Ris wa nne wa JMT!-MSOGA kamuulize ukipita pale kwenda Moshi!!
HAO WALIO KUKIMBIA NDO WAZURI WAMEKUACHIA NAFASI ILI UTAFAKARI TENA UPYA!