Ukweli mchungu: Chanzo cha anguko la ndoa 1&2

Aisee

"mwanaume ukitaka atulie m.... , au mwanamke tupu yake"

dunia hii inatisha
Yaani ni kuvurugana Tu. Ku na kichaa mmoja nilisikia akitamba anawapeleka wanaume za watu kwa lulenge. Nulupouliza ni pande zipi hizo hapa duniani, lol!! Nilichokumbana nacho ni heri ya sodoma na gomora!
 
Embu nambie na mm boss maana hizi cjui ndo tasfida sijui rejesta zk9 nyng kweli
 
Mkuu hapo ni no comment. Ni ukweli mtupu, afu ukiona mada ya muhimu kama hii wachangiaji ni wachache ujue watu tayari wamepata somo, jiwe limerushwa gizani, kila mtu anauguza maumivu yake taratibu.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom