tujiajiri wenyewe au una maanisha nnKwani nyie walimu lazima muajiriwe na serikali, Tafuteni kazi kama kozi zingine, mlidekezwa vibaya awamu ya nne, mlisoma ualimu ili kupata kazi fasta
Mbona wenzenu walishazoea Maisha, siku hizi kwa idadi ya vyuo vilivyopo sasa walimu iwe basi nendeni mkalime kama kozi zingine, mkiendelea kusubiri serikali hata wewe ni serikali sasa sijui nani atamuajiri mwenzake ni vizuri wewe utengeneze idea sio kutegemea serikalitujiajiri wenyewe au una maanisha nn
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
maslahiWatu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Tatizo sio uwalimu tatizo serikali ivi unathani serikali ingekuwa inatoa posho kwa walimu,mshahara unaoeleweka,pesa za likizo zinatolewa kwa wakati,semina kwa walimu kila baada ya mwaka mmoja katika kuwajengea uwezo walimu mfano mwalimu tokea amalize Chuo miaka ishirini kapangiwa kijijini hajawai kupata semina yoyote ya mitaala mipya matokeo yake anafundisha kwa mazowea bado mnamlaumu uyu mwalimu kweli? Watu wanachangia vitu wasivyovijua pia uwezo Mdogo wakufikiri mtu anapata picha ya sehemu alipo then anatolea maamuzi tz kubwa hii kunawalimu wapo vijijini huko na mtihani unatungwa mmoja sio miwili alafu unategemea ufaulu sawa bila kutengeneza mazingira mazuri ni ujinga.maslahi
Najua wapo ambao watakata huu ukweli..!
Ualimu ni Course ambayo inasomwa na watu wengi walipata ufaulu wa kawaida sana.
Watu wengi sana wenye uwezo mkubwa sana wa masomo ya Science, huwa wanandoto za kusoma Course ambazo zitawapatia Ajira yenye kipato kikubwa kuliko Ualimu.
shinikizo; Wazazi wetu, utasikia "mwanangu usuthubutu kusoma ualimu,utakufa masikini"
Ni wazi kuwa watanzania tumewekeza sana kwenye elimu tukiwa tunaamini Elimu ndio itatufanya tuyashinde maisha baada ya masomo, na kuwa komboawazazi na ndugu zetu pia, hivyo pia huwa tunapata hata mashinikizo kutoka kwa wazazi na ndugu zetu kuwa tusithubutu kuchukua Ualimu pale wanapotuona tunamudu masomo ya science, hutupendekezea Udaktari,Uhandisi na kazi nyingine zenye mshahara mzuri.
Ualimu una dharaulika sana.
Sasa si ndio maana nikasema Maslahi kwenye Ualimu ni madogo! (mi nazungumzia what is happening, wewe unazungumzia what should be done)Tatizo sio uwalimu tatizo serikali ivi unathani serikali ingekuwa inatoa posho kwa walimu,mshahara unaoeleweka,pesa za likizo zinatolewa kwa wakati,semina kwa walimu kila baada ya mwaka mmoja katika kuwajengea uwezo walimu mfano mwalimu tokea amalize Chuo miaka ishirini kapangiwa kijijini hajawai kupata semina yoyote ya mitaala mipya matokeo yake anafundisha kwa mazowea bado mnamlaumu uyu mwalimu kweli? Watu wanachangia vitu wasivyovijua pia uwezo Mdogo wakufikiri mtu anapata picha ya sehemu alipo then anatolea maamuzi tz kubwa hii kunawalimu wapo vijijini huko na mtihani unatungwa mmoja sio miwili alafu unategemea ufaulu sawa bila kutengeneza mazingira mazuri ni ujinga.
Kwahiyo ulikuwa unashauri nini?Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Alama za kwenye cheti co ualisia wa kichwani ww,watu wanafaulu kwa udanganyifu ww,mbona sasa hao wanashindwa kushindana na wakenya kwenye interviews,elimu co A,mm binafsi nawakubali sana Veta ,tuneshudia mtu amemaliza na GPA kubwa hata kujieleza kwa kingereza hawezi na cheti chake kina ANi nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Elimu ya makaratasi unayolazimisha serikali ikuajirî, hamna kitu tatizo vyuoni mnafundishwa nadharia sana hivyo kufundisha vizuri masomo ya science hamuwezi, Ndio maana mnawaza ajira za serikalini tuWewe chizi kweli unatukana wakunga na uzazi unagalipo,wakakupime ubungo ww co mzima ww mwenyewe unaweza kutumia iyo simu kusoma msg na kuandika kwa sbb ya mwalimu ndio maana nimekwambia huna akili,na hao madaktari wamefundishwa na ww ? na hao ma engineer wamefundishwa na miguu yko ,na watoto wako watafundishwa na mke wako?jiulize vzr ukiitwa hauna akili na maanisha hauna akili kweli.lazima tuwapongeze walimu kwa kazi nzuri wanazofanya .iv unafikiri kusoma kwa ajiri ya kupatia kazi tu,maana ya elimu ni kujikomboa kifrika na kimawazo na iyo elimu iwe na msaada wa jamii inakuzunguka ,
Tatizo sio uwalimu tatizo serikali ivi unathani serikali ingekuwa inatoa posho kwa walimu,mshahara unaoeleweka,pesa za likizo zinatolewa kwa wakati,semina kwa walimu kila baada ya mwaka mmoja katika kuwajengea uwezo walimu mfano mwalimu tokea amalize Chuo miaka ishirini kapangiwa kijijini hajawai kupata semina yoyote ya mitaala mipya matokeo yake anafundisha kwa mazowea bado mnamlaumu uyu mwalimu kweli? Watu wanachangia vitu wasivyovijua pia uwezo Mdogo wakufikiri mtu anapata picha ya sehemu alipo then anatolea maamuzi tz kubwa hii kunawalimu wapo vijijini huko na mtihani unatungwa mmoja sio miwili alafu unategemea ufaulu sawa bila kutengeneza mazingira mazuri ni ujinga.