kisemvule8080
Member
- Dec 23, 2016
- 18
- 12
c dawa bali tunataka tukutoe kwenye fikra potofu.kwani mwl wangu mm wa hisabati nampa heshima mpaka kufaDawa inawaingia walimu wa Science,uwezo wenu wa kujua masomo ni mdogo ndio maana serikali inapasa iwaverify upya
kinacho nishangaza na kunichekesha sana tena zaid ya sana ni kwamba hata wewe hicho kiburi na dharau zako zoote zimekuja baada ya kupita kwenye mikono ya hao hao unao wabeza leo sasa sijui tukueleweje??? Nadhani ni stress za kukosa ajira ndizo zinazo kusumbua na unadhani kwa kusema hivyo utaishawishi serikali kufanya kilichopo kwenye akili yako ndogo hiyo ili upate nafasi.Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani
Na mtu asikudanganye kwamba kazi hupatikana kwa kuwadharau walipo kazini huo ni ujinga na kukosekana kwa elimu ,wewe kama unafundisha hesabu na uko mtaani usidhaninkuwasema walimu walio kufundisha ukafika hapo ndio kutakufanya nawewe upate kazi ni kujichuria tuu maana hapo ulipo kama ulisoma umepita katika mikono ya hao hao unao unao wananga ,kwanza sina hakika kwanza kama hata shule umesoma maana msomi yeyote hujua umuhimu wa mwalimu haijalishi awaje ,na kwa akili hizi utakaa sana mtaani kijana huku ukiendelea na majungu yako ya kuwa nanga walio kupa ujanja,Ukweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeli
mmmmhhhhh.....admnistrator umemtoa wapi huyuWatu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Nimesoma huu Uzi hadi nafsini nimehuzunika sana hivi ninavo hangaika na watoto wa maskini wezangu niwape maarifa,hivi ni nilivo kubali kufanya kazi kwenye mazingira magumu, lakini bado kuna MTU ananituka na kunikejeli kweli duniani kuna wenye akili hao mungu amewapangia kazi za kuwahudumia wenye akili wenzaoWatu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Hivo vichwa vilitengenezwa na hao mainjinia na madaktari? Jibu kwanza hapo halafu tuendelee.Sio siri kila mtu anajua vichwa wote waliosoma PCM wanaenda engineering na wale wa PCB wanaenda udaktari.
Wewe una 'Dig' 1 ndiyo maana ukawa Raiskweli kabisa wengi wao ni dig 3 na four
hata mimi unaunga mkono uhakiki wa vyeti kwa walimu. ila huu uhakiki unaofanyika sasa ni uhakiki wenye laana, wenye kulenga kuendelea kuzuia ajira za walimu. huu uhakiki usingekua wa laana kama ungefanyika mapema, na muda huu ajira zikawa zimetoka. ila kwakua wahusika ni wenye laana wanaanzisha uhakiki wa laana ili kuzuia ajira. huu ni muda wa kutoa ajira, uhakiki ungefanyika mapema.Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Wote hao walipitia mikononi mwa walimu vilza wa maths sekondari.Sio siri kila mtu anajua vichwa wote waliosoma PCM wanaenda engineering na wale wa PCB wanaenda udaktari.
Waliingiaje vyuoni wakati walifeli?Ukweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeli
Watu wa aina yako ni vilaza wasumbufu darasani. Walmu wamejihidi kukusaidia usipate zero ndo unakuja hapa kuwabeza.Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Wewe una 'Dig' 1 ndiyo maana ukawa Rais
Div iWewe una 'Dig' 1 ndiyo maana ukawa Rais
Pengine labda wapo vilaza kama unavyosema kama ilivyo kwa fani zingine na huku hawakosi! Lakini kusema wote ni vilaza hauwatendei haki!Ni nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Vipi aliyepata E ya Physics halafu akaenda kusomea Engineering? Naye akienda kusoma hiyo engineering anabadilika anakuwa kipanga au?Hii ishu ya kuajiri walimu wote ndio imetufikisha hapa, kuna wengine wengi hawajielewi mtu hesabu alipata E form Six eti aende akafundishe hesabu wakati yeye alifeli ni ujinga uliopitiliza, Bora mtume vyeti vilaza wachujwe