Nijuavyo Mimi:
Mwenyezi Mungu Kaumba Vingi...
"Vinaonekana Na Visivyoonekana"
Tuanzie Hiyo Sentensi Kwamba Tukiangalie Kwa Vile Vinavyoonekana....
1: Vinavyoonekana
Kwa MA group Tutasema Wanyama,Mimea,Watu,Wadudu,Ndege N.k
2: Visivyoonekana:
Havionekani Mpaka Pale Mtu Apitie Njia Mbadala Kama Adubini,n.k
Katika Hivi Visivyoonekana Sasa:
Malaika,majini/mapepo/mashetani/maibilisi/,Izrael,bacteria n.k
Chukua Hiyo Mifano Miwili Ya Hawa Viumbe Tunaowaskia Kwa Ukaribu Lakini Hatuwaoni.... Malaika & Majini
Inasadikika Na Kuaminika Kwamba Malaika Wana Mabawa But In Real No One Ever Seen Them.. Mpaka Anaebahatika...
Turudi Kwa Djinns Hawa Nao Waasikika Hawana Maumbo Maalumu.. Kwamba Kuna Shape shifters n.k huko sio wote mnaamini hivyo lakini ndio ukweli ulivyo....
Sasa Turudi Kwa Huyu Binaadamu Yeeye Kaumbwa Na Kupewa Mamlaka Yote na mungu. Kapandikiziwa kitu kikubwa ambacho hakijui na hakitumii vema ilivyopaswa.... Kile chenye Nguvu Kabisa Katika Mwili Wa Binaadamu Ni Brain/Ubongo huu angeutumia vizuri binadamu basi angejua kweli ya mambo mengi...
Ikiwa Binadamu Anauwezo Wa Kucreate Viruses.. Na Kumgeuza Mwenzie Half Living Half dead(msukule)... Na kutengeneza gari yote haya kwa kutumia ubongo wake kufikiria na kikawa....
Je,baada ya kumfikiria vamp,wolf, zombie hawezi kumtengeneza live baada ya kumuweka akilini????
"Try To Awakening Your Brain"
#Rakims