MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,560
- 41,522
Hebu nijuze kidgo kuhus cannibals wa Tz. Lolote kuwahusu
mkuu Rama mla nyama za watu hukumsikia ??
Yule ni cannibal
Hebu nijuze kidgo kuhus cannibals wa Tz. Lolote kuwahusu
Mmh!! Persnaly sijawahi waona
Bt info na source kadhaa na walio fanya utafita they prove kuwa wapoo. Ukizama youtube unaeza ona na ku judge hizoo document zao
MO11 kama ulimsoma vyema mleta mada. Ameuliza swali hapo:
Jee hao wanaotunga visa vya mazombie, mavampire na wolves wanakaushirikiano?
Kwanini picha nyingi zinaleta tabia za kufanana kwa hao viumbe?
Kuna huyu na maza mmoja hivi
Swali, je nao ni kama jamii ya kichawi au kuna koo na makabila ambao wapo hivi!?
Mkuu kwa youtube nawatupiaga sana hawa viumbe.
Still accuracy ya youtube ni ndogo kuhusu hawa viumbe kwani hata wewe ukiwa na uzuri wa video production waweza kutengeneza ufos wako na kuwatupia pale.
Kuna hoja moja ya mdau hapo juu ameuliza kwanini story za ufos zitolewe na wamarekani tu?
Ni swali zuri la kuchokonoa mjadala.
Mimi sijui hata ao wanaosema ufo wapo wanasema wapo sayari gani!
Waweza nisaidi atleast jina la hiyo sayari inayodaiwa ina ufos?
Mkuu hivi visa ni story za zamani hata vimpire diaries ni ya zamani ila imekuwa modified na kuwekwa kwenye movie ila hizi story zimekuwa zikiishi kwa miaka na miaka na watunzi wa mwanzo waliweka kwenye vitabu hivyo ilikuwa ukitaka kutoa kitabu cha aina fulani lazima upite kwenye njia fulani ndio maana movie zote za wachawi hapa bongo lazima wapotee(wayayuke) hii ni misingi kwamba ili ijulikane movie ya kizombie lazima wawe hivi ili itambulike
Kama Harry potter waliamua kivyao ule ni sehemu ya utamaduni wa kiingereza kwamba kuna uchawi ndio maana movie za waingereza utakuta lazima kutakuwa na utawala wa kifalme au uchawi mfano merlin jack the giant slaw
ila kwa wamarekani hali ni tofauti picha nyingi wanapata kwenye vitabu ambavyo vina limitation kwamba zombies yupo hivi vampires vile wolves wawe hivi ili wasitofautiane
ila hawapo hawa viumbe
Mkuu bila shaka ni mengi unafahamu. tafadhari tujuze hiyo habari ya muhimbili.
Sitaki kumuaminisha mtu, ila tujue kuwa fasihi nyingi hutok kwenye ambavyo vina exist kama si jamii hiii basi nyingine. Kuna former member wa skul and bones ( secret group amblo Bush n koo yao imo) aliwahi zungumzia existance ya hawa watu,, si huyo tu kama wengine watatu ambao walikuw wakihusika kufanya hizo ibada....
hizo secret society zipo ila hakuna uthibitisho wa uwepo wa hao viumbe.
kuna swali limeulizwa kwa nini hizi story zinatoka marekani ?
Jibu ni kwamba marekani wanapenda attention ya dunia tena mara nyingi hutumia filamu zao kueleweka ndio maana hutumia kila mbinu ya kuvitukuza vya kwao
kipindi kile dunia ina vita wamarekani walikuwa wakitengeneza filamu zinazowaonyesha wao ni makomando hasa yaani jeshi litaangamizwa na mtu mmoja na kwa kipindi kile walifanikiwa
ukabadilika ukaja ulimwengu wa mazombie vimpire na wolves wakafyatua filamu za aina hii na wamefanikiwa na kutujengea dhana hii kwamba hawa wapo na kufanya baadhi ya watu waonekane wanavujisha siri sio kweli
sasa tupo katika ulimwengu wa teknolojia ya hali ya juu umeona filamu zao wakafyatua prison break 24hrs na za kufanana na hizo ili ijulikane wao ni watu wenye uwezo mkubwa
Kuna siku tutaambiwa avatar wana exist na tutakubali
mkuu nmependa sana ulivyochanganua..wamarekan now wapo ktk ulimwengu wa ma robot...mfano kwenye movie kama almost human
Draculr ni uongo mtupu....Umesahau kuwa mention na Draculas wa kule milima ya Carpathians, Romania ya kaskazini..!!
Draculr ni uongo mtupu....