Kufanya Meditation sio kazi ngumu ni wewe mwenyewe kuamua. Nakuomba fanya meditation kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu. Nakuhakikishia utakuja kuleta jibu tofauti hapa.Nataka kujua je wewe mpaka sasa umeumba vitu gani?
Kwanza kabisa ndugu sijaongelea Socrates. Mimi nimeongelea Pythagoras The Father of Pure Mathematics.kaka tupe basi hizo proof za kihisabati na kisayansi,au toka socrates atoe hyo kauli hajatokea mtu wa kutoa hizo proof?
Tambua kuwa hayo maswali aliyo kuuliza huyo mdau ndo yanafanya watu tuamaini juu ya imani za kidini.
............Ok hebu tuongee hapa basi kuhusu mwanga kama energy. Utagundua mwana upo na Mass kwa hiyo unaweza ukapimwa kwa kutumia beam balance..............
Nikwambie kitu. Hakika umeshindwa kuelewa. Na huenda umeelewa lakini unataka kujipoteza mwenyewe.pesa ya nini kwenye mfumo wa NWO ambao watu wanaishi bila kulipia chochote?
Kufanya Meditation sio kazi ngumu ni wewe mwenyewe kuamua. Nakuomba fanya meditation kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu. Nakuhakikishia utakuja kuleta jibu tofauti hapa.
(Kwa wale wakristo. Yesu alisema ufalme wa Mungu upo ndani yenu Luka 17:21)
Hujajibu swali langu lolote .Huwa mnajifanya mna akili mingi but naona umekariri sana majibu ya kutoa kuliko kujibu kiufasaha.
By the way jaribu kula nyama kidogo its good gor ur brains.
Itatuchukua mda sana kama watu bado hawajaelewa. Inabidi watu wengine kuwapeleka kwa nguvu. Kwa sababu kipindi hiki mtu anajitambua yeye ni nani.
We are immortals, our soul is immortals.
Baada ya kujielewa utaelewa kifo maana yake ni nini.
Kunawatu hapa wanataka kupindisha mjadala wamejazwa na mafundisho ya kidini hawataki watu tuwaeleze ukweli. Wanataka kuwapotosha watu.
Kwa watu ambao wamesoma Physics. Mtakumbuka Quantum Theory ilivyo.
Ningependa kutoa Idea hapa. Our consciousness ndio source yetu sote imetokana na cosmic energy.
Cosmic Ray huwa zinatoka na mlipuko wa supernova within Galaxy. Tunaweza sema Supernova ni mlipuko wa Stella.
Kutokana na Solar System yetu, mlipuko huo hufanyika nje yake. Cosmic Ray zinafika hapa duniani kwa kupitia sehemu tofauti tofauti.
Ngoja nitaendela kuleta elimu hapa. Japo kuwa kunawatu hawataki mabadiliko haya. Mabadiliko haya ni lazima mtu anajitambua sasa yeye ni nani.
Hakutakuwa na vita watu wataelewa wenyewe ni nani na tutakuwa kitu kimoja tutashikana mikono pamoja.
Kwa watu ambao akili zao zimeganda kwenye dini hawataki kufungua consciousness zao hawataelewa. Ni lazima wafanye hatua. Watu waliojazwa imani za ajabu ajabu lazima wabadilike.
Ni mda wa NWO sasa. Acheni kusikiliza propaganda (We are immortals)
Ndugu nimekuambia We are Immortals. Kwa nini unauliza swali hilo hilo na umequote jambo nililoongelea?Mkuu hii elimu yenu inaamini maisha baada ya kifo? Ukinipa jibu nakuunga mkono
Itatuchukua mda sana kama watu bado hawajaelewa. Inabidi watu wengine kuwapeleka kwa nguvu. Kwa sababu kipindi hiki mtu anajitambua yeye ni nani.
We are immortals, our soul is immortals.
Baada ya kujielewa utaelewa kifo maana yake ni nini.
Kunawatu hapa wanataka kupindisha mjadala wamejazwa na mafundisho ya kidini hawataki watu tuwaeleze ukweli. Wanataka kuwapotosha watu.
Kwa watu ambao wamesoma Physics. Mtakumbuka Quantum Theory ilivyo.
Ningependa kutoa Idea hapa. Our consciousness ndio source yetu sote imetokana na cosmic energy.
Cosmic Ray huwa zinatoka na mlipuko wa supernova within Galaxy. Tunaweza sema Supernova ni mlipuko wa Stella.
Kutokana na Solar System yetu, mlipuko huo hufanyika nje yake. Cosmic Ray zinafika hapa duniani kwa kupitia sehemu tofauti tofauti.
Ngoja nitaendela kuleta elimu hapa. Japo kuwa kunawatu hawataki mabadiliko haya. Mabadiliko haya ni lazima mtu anajitambua sasa yeye ni nani.
Hakutakuwa na vita watu wataelewa wenyewe ni nani na tutakuwa kitu kimoja tutashikana mikono pamoja.
Kwa watu ambao akili zao zimeganda kwenye dini hawataki kufungua consciousness zao hawataelewa. Ni lazima wafanye hatua. Watu waliojazwa imani za ajabu ajabu lazima wabadilike.
Ni mda wa NWO sasa. Acheni kusikiliza propaganda (We are immortals)
OK ndugu naomba basi tuende taratibu.Hushangai kwanini hueleweki na wanaokuelewa ni wale wachache ambao wana ufahamu ni hii ilimu yako ya kibabe! Hueleweki ndio maana hatuelewi inshort huwezi kufumdisha.U rather br the commander in the army,
Hushangai kwanini hueleweki na wanaokuelewa ni wale wachache ambao wana ufahamu ni hii ilimu yako ya kibabe! Hueleweki ndio maana hatuelewi inshort huwezi kufundisha.U rather be the commander in the army,yani wewe unaweza ukawa unadhani kwa kuchanganya maneno magumu ya kiingereza na hesabu, phisikia na falsasa ndo kuwa na akili.
Ndugu mimi hapa ninatoa fact wewe unatoa hadith. Halafu kumbuka ninachoongelea ni kile kile tu. Ninaongelea NWOInfact,nimelazimisha kumuuliza swali hilohilo ili niweze kutambua uwezo wake wa kufikiri ili nisije kupoteza muda wa kujadiliana naye.Kujijaza vitu vingi ambavyo huvielewi bado ni ujinga tu.Anaona wengine hatuzungumzii hesabu na fizikia basi sisi hatujui,kumbe tumekaa kimya tunamsoma anavyojichanganya.Ame shift kutoka NWO ambayo bado hatujamaliza kuidadavua amerukia kwengine ambapo pia hapawezi.Msiogope vitu anavyovishusha hapa,mimi nitawasaidia pale anapodanganya kwa kuwa nina uhakika uelewa wangu wa masomo anayoyataja ni mkubwa sana kuliko yeye.
Kama kweli yeye ni mwana fizikia halisi hawezi kusema moja kwa moja kwamba mwanga una mass.It is rediculous.
Basi akiona nilichoandika hapo kwenye nyekundu ataanza kwenda kwenye mitandao yake kubeba sumu nyingine ili aje kumwaga hapa wakati mimi hivi vitu vipo kichwani siku nyingi.Sina uhakika kama atakuwa amesoma somo la Quantum Physics.Ameingilia fani za watu huyu.
OK ndugu naomba basi tuende taratibu.
1. Mtu yupo Physical na Aetheric
PHYSICAL
Ni huu mwili ambao tunakula na kushiba(Umetengenenzwa na organic chemical). Huu mwili huwa unamwanzo wake na baadae huchoka ndio tunaita mzee. Huo mwili baadae hufa. Huliwa na micro organism na kusabaa na kurudi tu katika chemical particles. Huu mwili ni kama box tu. Au ninaweza nikasema ni kama computer hardware. Hardware haiwezi ikafanya chochote mpaka kuwe na instruction (Hebu naomba uvute picha kama hiyo)
AETHERIC
Ndio uhalisia wetu ndio sisi(soul). Ndio kitu kinachofanya mwili uweze kutembea, kufanya matukio mbali mbali katika mwili. Kwa upande mwingine unaweza kusema is our Reality (Hivi unavyoviona is not real who we are). Material Physics haiwezi ikajibu maswala ya Soul. Bahati mbaya dini zimepotosha na kuwaminisha watu kuwa kuna mungu lakini katika uhalisia kuwa our consciousness ndio Mungu.
Nilikuwa najaribu kuelezea kuwa jinsi gani sasa ya kujitambua maana tangu tuzaliwe tumekuwa katika mazingira ya mwili ambayo is not real is just illusions. Na nilikuwa nikieleza jinsi gani watu wachache walivyofanya na kutuaminisha vitu vya ajabu ilikwamba waweze kututawala kirahisi. Hebu jaribu kufikiria kuhusu pesa. Hivi kweli pesa ndio nini sasa. Ni karatasi tu iliyochora michoro au mawe yaliyo pondwa pondwa. Wamehakikisha wanajaza elimu watu kuabudu ambao ni ujinga. Wanaabudu wasichokijua, wanaabudu mungu katili, wanaabudu mungu anayewajua waliowake.
Hakika huu ni upuuzi tena upuuzi mkubwa sana. Kwa mujibu wa Astrology hiki ni kipindi cha evolution in our consciousness. Uwezo wake unapanda kwa asilimia kubwa sasa. Watu wanaendakujitambua wao ni nani na kupinga vitu vya unyanyasaji na baadae kuungana na kuwakitu kimoja.
Nikajaribu kuongelea kuwa sisi ni immortal hatufi. Kwa kifupi we are gods. Hukumbuki hata katika vitabu vya dini imeeleza kuwa sisi ni mungu? Tatizo watu hawataki kubadilika wanang'ang'ania OWO ambayo kusema kweli imeshindwa kuunganisha watu.
Ninakuomba jiunge kwenye movement yetu ya kuelimisha watu waweze kujitambua. NWO ndio kila kitu kwetu. Ni muda wa kujitambua wewe ni nani.
Ahsante
by
Annael
........Ili kuweze kuwa na energy lazima kuwe na Mass..........
Wewe tatizo lako unahusianisha vitu viwili ambavyo haviendani kabisa.Hiki ulichoandika na NWO halisi vinapingana sana.Wewe huijui NWO halisi maana yake nini,kama ungeijua usingeilinganisha na mambo unayozungumza hapo juu.Pengine wewe ni mmoja wa watu mlioweza kutekwa kiakili na walioandaa NWO kwa kufichwa maana halisi ya NWO.Elimu unayoitoa ni sayansi nzuri sana (lakini ukikosea sichelei kusawazisha),lakini unahusisha na NWO ambayo lengo lake si hilo unalolijua wewe ndugu.
Naomba utoe proof as long as mwanga unahusika.