Ukweli kuhusu wewe na dunia

Sio lazima useme meyiii unaweza ukatamka neno lolote. Halina maana yoyote ni namna tu ya kutoa pumzi kutokea kwenye mapafu.
unaweza ukasema chochote. Unajua tafuta neno lolote linaloacha mdomo wazi ili pumzi iwezi kupita.
Hata neno MUNGU linafaa au vip?
 
Mkuu mbona wanatuaminisha hayo ya NWO ni ya kishetani na ndo tutakuwa tunaenda mwisho wa dunia
 
Nakuelewa sana mkuu. Nafarijika kuona kuna watu ambao wanauwezo wa kukataa utumwa kama Mimi ninavyoukataa.

Leo hii watu utawasikia wanasema "mababu zetu hawakuwa na akili ndio maana walitawaliwa"

Wanasahau kuwa wao ndio ambao hawana akili maana wanajua kuna kutawaliwa na wanaridhika na hiyo hali

Pili umenifanya niendelee na jitihada za kuikomboa jamii yangu kutoka kwenye huu utumwa wa fikra na kiimani ambao ndio chachu kubwa ya umasikini na kuendelea kunyanyasika kutoka kwa wanadamu wenzetu.

Sio siri, Mimi nimeanza na mwanangu kwa kumpa majina ya mababu zangu ya asili na ninamalizia kwa kutompeleka kanisani wala popote panapozungumziwa habari za Mungu. .

Nibachofanya, ni kumuandalia chakula cha ubongo ambacho kitamuwezesha kujitambua yeye ni nani na anapaswa kufanya nini.
Naamini kwa kufanya hivi, nitakua nimeanza kupiga hatua moja mbele ya ukombozi dhidi ya huu utumwa mbaya kabisa
 
Unataka evidence gani wakati akili yako yote umeidumbukiza kwenye ukafir..............
Sio kosa lako mkuu. Ni kosa la wazazi wako kukuandalia chakula cha utumwa kwenye ubongo wako. Ila usiwe na shaka maana vizazi vyenu vinapita na miaka ijayo jamii zetu zitakua huru

Hakuna kitakachokua kimefichwa tena. Kila kitu kitakua wazi na wanadamu watajijua na kuelewa nini inawapasa kufanya
 
Unaitaka New world order wewe? Unaijua inakuja kwa misingi ya nani? Mawazo huru ndio yanayoua ustaarabu katika jamii, uovu huanzia katika mawazo huru yani kufanya unavyotaka. Angalia mambo unayoshabikia yanaipeleka jamii yetu wapi.
Unanidanganya mkuu.
Mbona kuna dini kuua ndo kuongezewa thawabu!!!!

Uovu hautokani na mawazo guru, hutokana na hurka. Tusioamini uwepo wa Mungu, huwa hatufikirii kuua. Tunafikiria kuukomboa ulimwengu. Bado hujajifunza kitu hapa?
 
Tunafahamu ila baadhi yetu hatutaki na Kabla operation hiyo haijaanza rasmi. Yesu atachukua walio wa kwake!
Mtakaobaki all the best!
Swali la kizushi je ninyi na NWO mnaamini kuhusu life after death?
Na waislam watachukuliwa na nani?[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Msinichekeshe mie. Akili zenu zipo kwenye kasha haziwezi kufanya kazi tena
 
Uko vizuri mkuu
 
Unanidanganya mkuu.
Mbona kuna dini kuua ndo kuongezewa thawabu!!!!

Uovu hautokani na mawazo guru, hutokana na hurka. Tusioamini uwepo wa Mungu, huwa hatufikirii kuua. Tunafikiria kuukomboa ulimwengu. Bado hujajifunza kitu hapa?
Nimeshangaa unaongelea nini hapa, nilishasahau hata uwepo wa hii thread.
Anyway asipokuwepo Mungu shetani huchukua nafasi. Pamoja na nia njema yoote kama huamini uwepo wa Mungu anything can happen ikiwemo depression inayoweza kukupelekea kufanya mambo mabaya hata kujidhuru mwenyewe.
 
Mkuu Annael hivi hamna njia rahisi ya kufungua hili jicho la 3 tofauti na meditation au njia hii ya MEYIIiii???
 
K
 
Unaitaka New world order wewe? Unaijua inakuja kwa misingi ya nani? Mawazo huru ndio yanayoua ustaarabu katika jamii, uovu huanzia katika mawazo huru yani kufanya unavyotaka. Angalia mambo unayoshabikia yanaipeleka jamii yetu wapi.
Mwanadamu katika fikra zake hana jema lolote analoweza kulifanya asipoongozwa katika misingi sahihi, akipewa uhuru wa mawazo atapotea kwa kuvutwa na tamaa mbaya.

Kwanza nashangaa sana ni kwanini katika kufanya zoezi husika ilazimike kutamka hilo neno polepole? Hilo neno lina maanisha nini hasa? Ni nani anahusika kutoa uwezo huo wa kuona pasipo mwongozo?

Ikiwa ni mradi tu kuona chochote ina maana gani na ina faida gani hasa? Hilo tukio la kuvuta pumzi kwa kutumia pua na kutoa kwa kutumia mdomo tu si la kawaida katika uhalisia na umeenda mbali kabisa kutamka hilo neno polepole. Elimu nyingine hizi daah
 
Ukianza kula chakula bure kutakuwa na ulazima wa kufanya tena kazi? Ukila chakula bure hata kule kula kwa jasho kutakuwa hakupo tena! Hapo kutakuwa ni chimbuko la wavivu
 
"it is the word of satan", how?, Why?, Is satan included in your NWO cores and logical beliefs??,, I think satan or God/gods shouldnt be a part of your belief because they were all "created", by OWO,, and they are "myths", you fight against
 
Hapa ndipo nimeanza kuelewa msinginwa post yako, kumbe unafanya kitu unachokijua na unajua lengo! Haiwezekani udanganye watu kuwa katika NWO system unayoipigia upaku eti kila kitu kitakuwa bure ili kuleta usawa, hili neno usawa kwanza inatakiwa uliondowe katika misamiati yako kama kweli wewe unajiona ni great thinker, usawa maana yake ni aliyefanya kazi na asiyefanya waote wapewe ujira sawa, lkn pia haiwezekani huduma zote duniani zitolewe bure wakati unjua zote zinagharimu muda mali nk, nani atakuwa kaziandaa ili watu wote wapewe bure?
 
nani atakuwa kaziandaa ili watu wote wapewe bure?
System itakua imeandaa mkuu, nikupe mfano mdogo leo hii kuna familia labda ya watoto wa5 mfano unakuta mmoja tu ndiye aliyetoka na kupata mafanikio basi atawaonganisha ndugu zake na watoto wao kushare alichonacho yeye ipo hiyo ktk familia mbalimbali
 
Nakutakia mafundisho yenye uweredi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…