Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Sasa mkuu unajua kwanini wayahudi wengi walikimbilia ulaya enzi hizo???Acha ujuaha wa kuaminishwa ujinga,mkenya akihamia tanzania na kuishi anakuwa mtanzania na uzao wake?
DNA haibainishi utaifa wa mtuView attachment 2859118
Uliwapima lini na uliwapimia wapi......wayahudi wote kuanzia bara asia mpaka ethiopia na mpaka ulaya na kaskazini mwa afrika?????
Unajua wasomi hatudanganyik
Mkuu unajua kwanini Hao Ashkenazi walikwenda ulaya kama disapora na hao wengine walisambaa asia nzima na kaskazini mwa afrika mpaka Ethiopian...Nusu ya waisrael ni Mizrahi, kwa maana ya kwamba wamekuwepo hapo mashariki ya kati kwa wakati wote. Hawakuwai kuwa ulaya kama ilivyo kwa Ashkenazi...
Ukitaka sema Ashkenazi hawana Levantine inheritance kinyume na Scientific evidence zote utakuwa na tatizo lako binafsi.
Hizo scientific evidence zipo wapi na aliziweka nani.....mlete tumuulize tuache adithi mkuu???Nusu ya waisrael ni Mizrahi, kwa maana ya kwamba wamekuwepo hapo mashariki ya kati kwa wakati wote. Hawakuwai kuwa ulaya kama ilivyo kwa Ashkenazi...
Ukitaka sema Ashkenazi hawana Levantine inheritance kinyume na Scientific evidence zote utakuwa na tatizo lako binafsi.
ISLAM AND ARABS MINDSET BAADA YA KUSHINDWA KUWAFANYA WAYAHUDI WATUMWA NA SEX SLAVE KAMA MUNGU WAO WA KIARABU ALLAH ALIVYOTAKA ILA AKASHINDWA75% uko sawa.
WAle sio watoto WA Yakobo WA kwenye Bible.
WAle ni ashekanz jews walitoka KHAZARIANS huko poland/Russia.
Na ukisoma Bibble Ashkenaz ni mtoto WA JAPHET.... sio SHEM. (MAANA SHEM NDIO KATOKA JACOB).
Pili ukitaka kujua Nani ni mtoto WA Yakobo au Mjukuu WA Ibrahim WA damu. Kasome kumb LA torati 28 usome zile laana zote kwa utulivu... Then ndio utajua ni jamii gani ilipata zile laana. Na pia Abraham aliambiwa uzao wake utakuwa UTUMWANI for 400 years. Baada ya hapo ndio Mungu atawarudisha kwenye ARDHI aliyompa Abraham.
Na pia ukumbuke biblia imesema YUDA (KABILA LA YUDA AMBALO NDIO WALIKUWA NA DINI HIYO YA KIYAHUDI) Amewatawanya kona zote za Dunia... But Hao jamaa wahuni wametokea Ulaya pekee. Hawakupo Africa wala huko China etc. Na Israel ( zile kabila 10 kasema atazikusanya "BEYOND THE RIVER OF ETHIOPIA") unayo ramani ya Africa unaweza kuona beyond the river of Ethiopia ni wapi.
Nimalize kwa kusema pia ARDHI ambayo Abraham Mungu alimpa ambayo ndio hiyo Judea or kaanan utakavyopenda kuiita Mungu alitaja sifa zake
Ina GOLD YA KUTOSHA, INA SHABA YA KUTOSHA, ARDHI YENYE CHAKULA XGA KUTOSHA..... Huyu Abraham hakupewa JANGWA KAMA NCHI YA AHADI BALI ALIPEWA NCHI YA ASALI NA MAZIWA
Genesis 13:1 KJV "Abraham went up OUT OF EGYPT, he and his wife and all that he had and Lot with him, into the SOUTH".
Shida yako unadhani kila mtu muislam N mwarabu. Njoo kanisani UTANIKUTA.ISLAM AND ARABS MINDSET BAADA YA KUSHINDWA KUWAFANYA WAYAHUDI WATUMWA NA SEX SLAVE KAMA MUNGU WAO WA KIARABU ALLAH ALIVYOTAKA ILA AKASHINDWA
Waarabu na Hao wazayuni Akina bibi netanyau ni WAHUNi kama wahuni wengine tu. Na ndio maana Meli Za wazayuni aka natanyau ndio zilizobeba WA africa kuwapeleka Utumwani Carieban na marekani then same na waarabu walivyofanya East Africa so wote mashetani WA Baba mmoja.WAPENDE WACHUKIE...ILA WAYAHUDI WABABE WA VITA NA WANAJUA KUTAFUTA WASHIRIKA WENYE NGUVU PIA.......
BILA HIVYO WAARABU NA WAISLAMU WANGEKUA WAMESHAWAGEUZA WATUMWA...KAMA WALIVYOWAFANYIA WAKURDI NA WAARMENIA NA WAGIRIKI NA WAYAZIDI NA MOOR,S NA WABANTU WA AFRKA KASKAZINI NA MAGHARIBI NA SEHEMU ZA JANGWA LA SAHARA NA AFRIKA MASHARIKI NA BAADHI YA VISIWA VYA BAHARI YA HINDI
Kwa Qu'ran tunawaita Ayajujah na Maajuju'h. Hawa ni watu wenye uso mpana na macho madogo wanatokea Mashariki ya Mbali( Urusi, Japan, Korea, China na vinnchi vidogo.Kuna uongo na Propaganda inaendeshwa na inapamba moto Kwa hasa haya makanisa ya kipentekoste ,wanadanganywa hawa kina Nentanyau ndio waisraeli ,ukweli huo ni uongo mkubwa ,Leo nitakupa mwanga kidogo ,mengine ukatafiti mwenyewe
Hawa wanaojiita israel Leo kihalisia ni waongo ,hawa wanatokea khazarian mashariki mwa Israel, hawa ndio Gogu na Magogu waliotajwa na nabii Ezekiel sura ya 38.
Baadae walihama baada ya khazarian empire kuanguka ,wakatawanyika na kwenda ulaya ,na maeneo mengine ,
Walipooenda Israel walipata nguvu kubwa sana ,na wakashika Serikali ,ukiangalia alama ya zaman ya khazarian ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya hawa kina Nentanyau,ni alama ya Hexagram yenye ncha 6
View attachment 2858834
Wajinga wanadanganywa ni nyota ya Daudi [emoji1787][emoji1787]
Unakuta makanisani ,wachungaji na maaskofu Wana phd wameiweka madhabahuni
Hiyo alama ni ya kipagan kutoka enzi za khazarian empire,na ni Moja ya alama za freemasons
View attachment 2858828
Angalia raman hapa ya khazarian utaona na alama yao ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya Israel.
Biblia inasema katika ufunuo
Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.
Unaona Biblia inatuonya kuna wayahudi fake wanajiita wayahudi Original
Hawa ndio wanafanya hata matamasha ya ushoga pale Tel Aviv ,hawa Kwa kujificha wanajiita Zionism
Wayahudi halisi wapo wachache sana pale israel wengine ni wale wakiroho wanaotajwa na biblia wale wanaorithi ahadi za ibrahimu
Pale israel kuna upinzan mkubwa sana kati ya Wayahudi halis na hawa Zionist ambao ndio Khazarian au Ashkenazi ,
Ingia YouTube andika Zionism vs Judaism utaona jinsi Wayahudi halisi wanavyowapinga hawa kina Nentanyau,
Tatizo Judaism pale israel wapo wachache sana ,ndio maana ni ngumu kujua huu upinzani, media zinawapumbaza na vita za Jews vs palestina na kuambiwa muwabariki Israel hawa kina Nentanyau wanaofanya matamasha ya ushoga pale Tel Aviv na Jerusalem.
View attachment 2858829
Hawa Khazarian ndio Gogu na Magogu wanatokea pale pale Urusi ,Wakati Nabii Ezekiel anatabiri kuhusu Gogu na Magogu kwenye kitabu Cha Ezekiel 38 ,akisema watapigana na Israel siku za mwisho, kwasasa walisha migrate na wamejificha pale pale israel ,na Sasa wanadanganya watu wao ndio Israel halisi .,na Urusi ni upagani.
View attachment 2858830View attachment 2858831
Inasikitisha sana humo makanisani watu wameweka bendera yenye alama za kipagani ,
View attachment 2858832View attachment 2858833
Yule mchungaji fake sijui kama anasomaga yule.Gamanywa umwambii kitu juu ya Hawa freemason
Kwa Taarifa yako nyota ya Daudi pia ilikuwa ni Moja ya Alama ya Dini ya Kiislam wakati wa Dola za KiislamHao uliwapima wapi, Hawa kina Nentanyau wametokea Khazarian,hata bendera ya Israel ya Sasa ina alama ya Hexagram ndio hiyo hiyo ilikuwa alama ya khazarian empire
Kwa upumbavu wenu mnaiweka hiyo bendera makanisani
Hiyo alama pia ni Moja ya alama ya freemason View attachment 2858846
Uislamu Bado hauelezei vzr ,sijui kwanini ,Kwa Qu'ran tunawaita Ayajujah na Maajuju'h. Hawa ni watu wenye uso mpana na macho madogo wanatokea Mashariki ya Mbali( Urusi, Japan, Korea, China na vinnchi vidogo.
Bado hawajajikusanya.
Ufunuo 16 inasema hawa wataitana majeshi elfu 20 mara elfu 10 sawa na Wanajeshi milioni 200 kuja kupigana vita Dhidi ya Israel.
Nyakati hizo hazijafika bado
Kwan nimekataa ? Hata nyota na mwezi ni alama za kipagani ikiwepo hiyo ya HexagramKwa Taarifa yako nyota ya Daudi pia ilikuwa ni Moja ya Alama ya Dini ya Kiislam wakati wa Dola za Kiislam
Huu ni ufafanuzi batili , description ya uso na kuwanasibisha na watu wa hayo mataifa haujathibiti katika Qur'an wala sijaona hadithi Sahihi ikisema hivyo .Ni vyema kutosheka jinsi vile Qur'an ilivyoeleza ukiweka mambo mengi huenda ukaangukia kwenye makosa..Kwa Qu'ran tunawaita Ayajujah na Maajuju'h. Hawa ni watu wenye uso mpana na macho madogo wanatokea Mashariki ya Mbali( Urusi, Japan, Korea, China na vinnchi vidogo.
Bado hawajajikusanya.
Ufunuo 16 inasema hawa wataitana majeshi elfu 20 mara elfu 10 sawa na Wanajeshi milioni 200 kuja kupigana vita Dhidi ya Israel.
Nyakati hizo hazijafika bado
Umeanza kuwatambua sasa tukiwaambia nyie wakristo ,waisraili sio ndugu hamusikii na munajipendekezaa atari .Waislamu ndio ndugu zenu na sasa wamepiga marukufu kuhubiri na kueneza ukristo na hiyo Bible hawaitambui ikikamwata ni jela tu .Kuna uongo na Propaganda inaendeshwa na inapamba moto Kwa hasa haya makanisa ya kipentekoste ,wanadanganywa hawa kina Nentanyau ndio waisraeli ,ukweli huo ni uongo mkubwa ,Leo nitakupa mwanga kidogo ,mengine ukatafiti mwenyewe
Hawa wanaojiita israel Leo kihalisia ni waongo ,hawa wanatokea khazarian mashariki mwa Israel, hawa ndio Gogu na Magogu waliotajwa na nabii Ezekiel sura ya 38.
Baadae walihama baada ya khazarian empire kuanguka ,wakatawanyika na kwenda ulaya ,na maeneo mengine ,
Walipooenda Israel walipata nguvu kubwa sana ,na wakashika Serikali ,ukiangalia alama ya zaman ya khazarian ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya hawa kina Nentanyau,ni alama ya Hexagram yenye ncha 6
View attachment 2858834
Wajinga wanadanganywa ni nyota ya Daudi [emoji1787][emoji1787]
Unakuta makanisani ,wachungaji na maaskofu Wana phd wameiweka madhabahuni
Hiyo alama ni ya kipagan kutoka enzi za khazarian empire,na ni Moja ya alama za freemasons
View attachment 2858828
Angalia raman hapa ya khazarian utaona na alama yao ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya Israel.
Biblia inasema katika ufunuo
Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.
Unaona Biblia inatuonya kuna wayahudi fake wanajiita wayahudi Original
Hawa ndio wanafanya hata matamasha ya ushoga pale Tel Aviv ,hawa Kwa kujificha wanajiita Zionism
Wayahudi halisi wapo wachache sana pale israel wengine ni wale wakiroho wanaotajwa na biblia wale wanaorithi ahadi za ibrahimu
Pale israel kuna upinzan mkubwa sana kati ya Wayahudi halis na hawa Zionist ambao ndio Khazarian au Ashkenazi ,
Ingia YouTube andika Zionism vs Judaism utaona jinsi Wayahudi halisi wanavyowapinga hawa kina Nentanyau,
Tatizo Judaism pale israel wapo wachache sana ,ndio maana ni ngumu kujua huu upinzani, media zinawapumbaza na vita za Jews vs palestina na kuambiwa muwabariki Israel hawa kina Nentanyau wanaofanya matamasha ya ushoga pale Tel Aviv na Jerusalem.
View attachment 2858829
Hawa Khazarian ndio Gogu na Magogu wanatokea pale pale Urusi ,Wakati Nabii Ezekiel anatabiri kuhusu Gogu na Magogu kwenye kitabu Cha Ezekiel 38 ,akisema watapigana na Israel siku za mwisho, kwasasa walisha migrate na wamejificha pale pale israel ,na Sasa wanadanganya watu wao ndio Israel halisi .,na Urusi ni upagani.
View attachment 2858830View attachment 2858831
Inasikitisha sana humo makanisani watu wameweka bendera yenye alama za kipagani ,
View attachment 2858832View attachment 2858833
Wewe tatizo lako ni ushoga tu.DNA ya wapi , wale ni wahuni tu , Israel halisi sio hao waeneza ushoga