Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,781
- 16,217
kwamba wasukuma wanapenda kulaMi ninachojua Wasukuma sio wa choyo wa chakula tu, wakipika chakula cha familia moja ni kama wanalisha kijiji, na hupenda kula nje hata ukipita hawana noma una nawa na kukaa kula. Mambo yao ya kishamba sio shida yangu.
Tabia halisi ya msukuma ni ipi? Maana Umetuacha kwenye mataawatu wengi wamekuwa wakiwasifu ndugu zangu kabila la kisukuma kwa kuwa wakarimu, Lakini pia kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiwananga wasukuma kwa kuwasema kuwa hawana ukarimu bali ni watu wenye roho mbaya, hii ni asilimia ndogo ukilinganisha na ile inayowasifia wasukuma....ukweli ni huu hapa unapofika usukumani hasa kama wewe ni mgeni na lengo lako ni kutafuta maisha utapokelewa kwa bashasha na kila huduma nzuri utaipata kama chakula na mengineyo. sasa basi baada ya muda mfupi umejitafuta na umejipata yaani umeanza kuwa na mafanikio ya hapa na pale. Hapa sasa ndio utaanza kumfahamu msukuma vizuri , ule ukarimu aliokuwa anakuonyesha hubadirika polepole na kuanza kukuonyesha tabia yake halisi.
point ipo katikati ya madaTabia halisi ya msukuma ni ipi? Maana Umetuacha kwenye mataa
We sio msukuma
Sasa habari za wasukuma unazipata wapi Jo
Jikite kwenye ishu zako
mazungumzo tu mkuu wala sina nia Mbaya au nimekugusa?We sio msukuma
Sasa habari za wasukuma unazipata wapi Jo
Jikite kwenye ishu zako
Hawapendi kujinyima kwenye kula.kwamba wasukuma wanapenda kula
Naungana na wewe msukuma ni mtu poa ukiwa huna kitu ila ukiwa na mafanikio wewe ni adui yake,wasukuma ni katili sana,mkoa wa geita unaongoza kwa kesi za mauajiWatu wengi wamekuwa wakiwasifu ndugu zangu kabila la kisukuma kwa kuwa wakarimu, Lakini pia kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiwananga wasukuma kwa kuwasema kuwa hawana ukarimu bali ni watu wenye roho mbaya, hii ni asilimia ndogo ukilinganisha na ile inayowasifia wasukuma.
Ukweli ni huu hapa unapofika usukumani hasa kama wewe ni mgeni na lengo lako ni kutafuta maisha utapokelewa kwa bashasha na kila huduma nzuri utaipata kama chakula na mengineyo.
Sasa basi baada ya muda mfupi umejitafuta na umejipata yaani umeanza kuwa na mafanikio ya hapa na pale.
Hapa sasa ndio utaanza kumfamu msukuma vizuri, ule ukarimu aliokuwa anakuonyesha hubadilika polepole na kuanza kukuonesha tabia yake halisi.
Walikufanyia ukatili wa kijinsia amaNaungana na wewe msukuma ni mtu poa ukiwa huna kitu ila ukiwa na mafanikio wewe ni adui yake,wasukuma ni katili sana,mkoa wa geita unaongoza kwa kesi za mauaji
nimeishi kanda ya ziwa ila sio siri , kanda ya ziwa niliona mengi mabaya kuliko nilipokuwa kaskazini huko moshi mkoani kilimanjaro......Hivi mtu mkarimu anaweza kuwa mchawi vilevile?Ni swali tu.Naongeza lingine.Hivi mtu mwema na mkarimu anaweza kudiriki kuua vikongwe wenye asili ya macho mekundu kwa kudai ni wachawi?Au,kukodi majambazi wakamuue mtu aliyebaini ana fedha?
Be specific and to the point!Uliishi wapi huko Kanda yenye ziwa?nimeishi kanda ya ziwa ila sio siri , kanda ya ziwa niliona mengi mabaya kuliko nilipokuwa kaskazini huko moshi mkoani kilimanjaro......
kuanzia misungwi ...mwanza mjini Mpaka mkoa wa GeitaBe specific and to the point!Uliishi wapi huko Kanda yenye ziwa?