Ukweli kuhusu wasomi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu wasomi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Romio majeshi, Jul 6, 2012.

 1. R

  Romio majeshi New Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila mtu anajua ukipata elimu ndio ukombozi wa maisha lakn unapata elimu unaenda kua mtumwa wa mtu unafanya kazi mdaa mrefu kwa kipato kidogo mwisho wa siku unamkuta mtu anamaisha magumu lakini ana elimu nzuri,wengi hawajui elimu ya darasani haitoshi ila kunaki2 cha ziada kinaitajika ili m2 afanikie zaidi na elimu yake imsaidie...
   
 2. C

  CAY JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hicho kitu cha ziada ni nini?
   
 3. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nafikiri hicho kitu ni uamuzi wa kufanya hatua isiotabirika kiuhakika (taking a risk). Kwa mfano kubadilisha kazi, au kuanzisha kampuni yake au na wenzie (start up) au kufanya biz. biashara na ujasirimali
  Kwa upande mwingine: Hasa kwa mfano ulioutumia, huyu mfanyakazi safi tu anaedum, anathamini kudumu kwa kazi. Inawezekana kwake yeye, kua na uhakika wa bajeti yake inatosha. Kuna wengine hawajigongi kwenye TV. bora watoto inasoma na mama ana kanga. na jiko halijalala paka.  Hata hivo Romio, sio kila mtu anae
   
 4. m

  mwajiri Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. sio kila mtu ana uelewa, utashi, akili, ustadi na juhudi sawa walizonazo wengine. Kila mtu ana mahitaji na matakwa yake, wakati wengine wana elimu na hawana kazi, wengine wanatamani elimu hiyo hiyo hata kama hawana kazi. Hivyo ni vyema kila msomi akaangalia anahitaji nini, anastahili nini na atafanyaje apate hayo.
  2. Kuwa na elimu si ukombozi wa maisha, kwani statistics zinaonyesha wasio na elimu wana mafanikio zaidi kuliko wale waliosoma. Hivyo tusisome tu kwa sababu kuna nafasi za kusoma, tusome vitu tunavyopenda kusoma, tunavyoweza kusoma na tunavyohitaji kusoma ili tuvitumie katika maisha yetu baada ya kuhitimu.
  3. Kitu gani cha ziada kinachohitajika ili wengine wajifunze?
   
 5. chash

  chash JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu. Msomi ni mtu mwenye degree moja na kuendelea. Chini ya hapo wanaitwa dropouts. Wameshindwa na masomo.
  Kwa hiyo huwezi kusema wasomi wana kipato kidogo. Kuwa na degree sio lazima uwe tajiri. Unaweza pia uwe umeridhika pamoja nakutokuwa tajiri. Isitoshe kama mtu msomi anashindwa na kumudu maisha anahitaji atafute kozi nyingine aongeze elimu ya kumudu maisha. Kitu kinacho nyanyasa watu wengi afrika ni kwamba nchi zetu zipo chini sana ki uchumi na kwa sababu hiyo unapata mtu ambaye hata darasa hajawahi kuingia anaenda nchi za nje na kulipwa mshahara mkubwa kuliko wenye ma degree hapa.
   
 6. K

  Kapeleka Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, tusichanganyie kwenda shule na kuelimika. Si wote walioenda shule wameelimika na siyo si wote wasiokwenda shule hawajaelimika. Kinachomfaya mtu aendelee ni kubadilika kwa fikra na mitazamo yake katika kutambua fursa za kujiletea maendeleo. Mfumo wa elimu yetu unamjenga mtu zaidi katika kupata vyeti na kutafuta kuajiriwa (white color jobs) na hiyo kushindwa kutambua namna ya kujiari, hawa wamesoma, lakini hawajaelika.

  Learning can either be formal, informal or non-formal, kikubwa ni mtu kujaribu and take calculated risks, failures sikuwa nyingi lakini at last mambo yatajibu, na siyo kutembea na bahasha za kaki zilizojaa vyeti kutwa Posta huku hakuna mipango ya kujiari. Tubadili fikwa wandugu
   
 7. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ungetueleza nia na madhumuni ya Kuanzisha hii topic tungekaa tukajadiriana lakini mkuu hata kama imebidi hili ndio jukwaa lake ama?? au mwenzangu na wewe kama mimi shule hamna maana upeo wangu wa kuwaza uko verry limited.
   
 8. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Education is what remains after one has forgotten what one has learned in school. Albert estein

  He later says there two groups of literate peoples which are those who goes to school and those who are educated.
  As there millions of proffessors around the world who spend all their lives around the universities campus reading and doing research, these are people who goes to school.

  And also there are people who spend some days in school and face the challenge of real life and succeed to change the world as bill gates, takashido toyota, michael dell and a lot of others this are in group of educated ones because they have a lot of things remained on their head after forgeting what they learn in school which is main purpose of education to prepare individuals to face and defeat the challenge sorrounding their environments.

  Sio mimi jamani ni albert estein huyo ukipenda m google umsome vizuri ndo utajua nani msomi na nani kaenda shule, yeye anaamini kuna watu wameishia la saba tu ni wasomi as wameelimika na wanazishinda changamoto za maisha na kuna wengine ni maprofesa lakini hawajaelimika as wanashindwa kupambana na changamoto hata za familia zao so hao hawajaelimika bali wameenda shule as wakisahau theories walizosoma shuleni hawana kitu kinachobaki kichwani, na ukitaka kumpima mtu kama kaelimika au la? Msubiri miaka 10 toka alivyotoka chuoni uone anapambana vipi na changamoto za maisha katika kujiletea maendeleo kwa sababu muda huo anakuwa ameshasahau madesa yote na anapambana kwa kutumia kilichobaki kichwani
   
 9. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  nakubaliana na wewe mkuu
   
Loading...