Keneth Elphas
New Member
- May 11, 2013
- 4
- 0
Wiz m2pu
kwenda chooni bila pesa kuna uzi niliuona humu unamaanisha 0714 duh!!Kiukweli jaman pesa ndo kila kitu huwez kula bila ya pesa kuvaa,kulala hata kwenda chooni bila ya pesa hakuwezekani
Hata muandikeje humu pesa mtatoa tu kwa mwanamke! Kama si wewe basi yule, au huyu!
Wanatoa waporipori; town ni full gospel + beer; dem akishazoea kampany ya kila jioni baada ya kazi hachelewi toshusha ako kanguo ka kwanza kuvaliwa.
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-sauzi mwambie una ukimwi,
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-marekani mwambie una cancer,
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-china mwambie una sars,
na ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-bongo mwambie huna hela.
Ni kweli?