Hamna mtu anayetafuta kiki, ila sehemu yoyote ile ukiona kuna tabia mbovu usiiache kuikemea , eti utaoneka unatafuta kiki, huo ni wajibu wako ukishindwa Mungu atakuuluza kwani lengo la Mungu hataki binadam yoyote apotee dhambini . Sisi ni binadam tunahitaji kusaidiana na kurekebishana sisi kwa sisi kiroho na kimwili na ndio maana Mungu katupa vipawa tofauti, ila kwa kubatizwa kwetu tumefanya tuwe manabii, ili kusaidiana na viongozi wetu wa kiimani kuwatafuta waliopotea na kuwarudisha kundini.