Treatment amba aliyopata itakuwa fundisho kwa vijana wote wa Tanzania wenye akili za kisoda kama yeye, nadhani hujaangalia video zake kabla ya hiyo ya kuliwa. Alirekodiwa tena akiliwa double (threesome) na vijana wawili, and she's cool with it, akapostiwa online, again she's just cool. Mtu wa namna hiyo akiachwa tu anaharibu vijana wangapi? Kama kuna kijana atatupia video ya namna ile tena kwa kipindi hiki, huyo atakuwa retard.Kusema ukweli sijafurahia kitendo cha Amber lakini pia nimesikitishwa na treatment aliyopewa. Ushoga ni dhambi na ulikuwepo hata wakati Yesu yupo. Kama Sodoma na Gomorrah walishindwa kuutokomeza tutaweza sisi?
Nguvu haitasaidia kupigana na hili tatizo. Ninakumbuka katika kutafuta nilifanya kazi kwenye kituo cha psychologists and counselling nilikuwa karani tu mpokea simu. Kuna kijana alipiga simu alikuwa referred na daktari wake. Anataka counselling. Ndiyo amejigundua kuwa ni gay baada ya kumaliza six form. Hawezi kuongea na wazazi wake na anaogopa marafiki zake watamtenga.
Sasa kijana kama huyu asipopata psychological help mtamkuta amekunywa sumu na amri RIP . Kumbe angeweza kuwa mathematician mzuri tu na kusaidia watu kama Sky Eclat lufaulu mitihani.
Kwa hiyo utaka kualalisha dhambi au haramu kwa sababu wanatoa msaada kupitia dhambi zao.Sifurahii ushoga lakini lazima niuheshimu mchango wao katika jamii. Leo hii HIV si tishio tena dunuani labda uwe mzembe lakini gay community imepigana sana katika ku lobby serikali kubadilisha sheria na watu wapate tiba bila kujali gharama.
Inamaana hatukubali pesa unayoletwa na watalii wangese?
Hivi shem akitaja nae kwenye msala huu utachukua uamuzi gani?Sifurahii ushoga lakini lazima niuheshimu mchango wao katika jamii. Leo hii HIV si tishio tena dunuani labda uwe mzembe lakini gay community imepigana sana katika ku lobby serikali kubadilisha sheria na watu wapate tiba bila kujali gharama.
Inamaana hatukubali pesa unayoletwa na watalii wangese?
Usitumie dhambi zingine kulalisha nyingine..Huo mtazamo uwesabika kama upumbavu.. Biblia inasema mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu habadiliki.Kwani wanaozini waliruhusiwa?
Hapo chacha utazani sie tunawaunga mkono.. Wakat tunawaraai kwa nguvu zetu zote.Kwan kuna aliyekataa kuwa sio dhambi
Duh.....Huu ushoga na usagaji mimi siuungi mkono kwasababu utapelekea kuwepo kwa ndoa za jinsia moja, na kukiwa na ndoa za jinsia moja itakuwa balaa maana watu kama mimi tutakosa papuchi za kupiga , maana kama wanawake wataoana wao kwa wao sasa mimi nitamuoa nani? Hii kitu italeta italeta upungufu wa wanawake, yaani tutaishia kuwaona tu...
Dada nimejaribu kufuatilia thread zako za karibuni lakini pia comments zako kuhusu masuala mazima ya ushoga na mapenzi ya jinsia moja. Nachelea kusema kuwa unapenda na kufurahia mambo haya.Kibano atakupata
Wauweni basi na kila mzazi atae ripoti kuwa mtoto wake ana dalili na chembe chembe za ushoga auliweDada nimejaribu kufuatilia thread zako za karibuni lakini pia comments zako kuhusu masuala mazima ya ushoga na mapenzi ya jinsia moja. Nachelea kusema kuwa unapenda na kufurahia mambo haya.
Sijui wewe ni muumini wa dini gani, ila kama ni miongoni mwa hizi mbili (ukristo, uislam) moja wapo.Tuambie mafundisho yako ya Mungu wako anasemaje kuhusu ushoga na mapenzi ya jinsia moja?. Tuambie Mungu alifanya makosa kuangamiza watu wa sodoma na komoro kwa vitendo vyao?
Najuwa mnaposoma vitabu vyenu vya dini kuna wakati wa kutafakari maandiko mliyosoma Je kuna mafunzo gani na mazingatio gani katika kisa hiki cha sodoma na komoro?.
Hivi ni kweli jamii inapaswa kuiga kila kitu wanachofanya wazungu kwasababu ya maendeleo yao, hivi ni lini sisi Waafrika tutaigwa na hao wazungu?
Nakemea matendo yote machafu haijalishi mimi nafanya au nani anafanya kama ni chukizo basi nakemea
Wauweni basi na kila mzazi atae ripoti kuwa mtoto wake ana dalili na chembe chembe za ushoga auliwe
I don't condone any sin against God lakini kuhukumu sio kazi yangu. Najitahidi kwa rehema na huruma ya Mungu nisije kuwa kama Mafarisayo ambao mbele za watu wanaonekana watakatifu wakati wanachofanya kifichoni ni ya kusikitisha. Biblia yangu inaeleza "Thou Shall Not Judge". Ninachofanya nikuuombea uzao wangu uishi kwa kumpendeza Mungu na nikimuomba Yeye awafunike na maovu yote. Rehema ya Mungu itufunike.Tumeambia tusihukumu ila kumbuka wakati una batizwa, ulipakwa mafuta bila shaka wewe ni nabii lazima umwambie na umuelekeze mwenzako akikosea hata kama akikasirika. Alafu tusihalalishe upuuzi eti kisa Alexander the great, da vinci walikuwa mashoga kumbuka hawa ni binadam na wazaifu na ndio maana shetani akawa jaribu na wao wakakubali kujaribika . Wewe unachotakiwa kuwahubiria wanapokosea na hata kukemea, Yesu haku muhukumu mtu, ila aliwa hubiria upendo wa Mungu kwa mtu atakaye kubali kuomba toba na kubadilika na Kuna kipindi hakusita kukemea hadharani dhambi. Tusihalalishe huu upuuzi kwa hicho kigezo chako cha akina Alexander great na da vinci hao pamoja na nguvu na ugenius wao, lkn wao ni binadam na wanajaribiwa na shetani cha msingi timiza wajibu wako kama mzazi, mwana jamii katika malezi ya watoto wako na watoto wa majirani zako na ukiona hawakuelewi vaa unabii wako na ukemee kwa nguvu, ili jamii yetu, kizazi chetu kisipotee na tulinde tamaduni zetu za Kiafrica.
Heri yako wewe uliye mtakatifu maana ufalme wa Mungu ni wako!![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nenda zako Shetani.
Kama kila mtu angekuwa anaiangalia familia yake basi leo hii kusingekuwa kuwa na kanisa, manabii wala mitume, tatizo lako umepokea imani bila kuelewa wajibu wako. Kama ungeelewa kwa ubatizo wako umefanywa kuwa nabii na wajibu wako kukemea, kuwahubiria wengine na hata kuwakemea wengine. Amri za mungu kuu mpende mungu wako kwa roho yako yote, akili zako zote na kwa nguvu zako zote na mpende jirani yako kama nafsi yako, kwa hiyo husimwache jirani yako apotee dhambini eti sababu ukiongea nae utaona unamuhukumu, hata Yesu alikuwa anawakemea waandishi na mafarisayo waache njia zao, hivyo hivyo akina Elia pamoja na mitume wa Yesu na Mungu huwa anafurahi na kukujaria neema zake ukiwasaidia kiroho na kimwili watu wengine sababu kwa kufanya hivyo, sifa na utukufu wa Mungu unasambaa sasa ww uwahubirie na kuwaombea watu wafamilia yako unazani hapo kutakuwa na kanisa, kumbuka wewe ni nabii timiza wajibu wako wa kuhubiri na kukemea dhambi.I don't condone any sin against God lakini kuhukumu sio kazi yangu. Najitahidi kwa rehema na huruma ya Mungu nisije kuwa kama Mafarisayo ambao mbele za watu wanaonekana watakatifu wakati wanachofanya kifichoni ni ya kusikitisha. Biblia yangu inaeleza "Thou Shall Not Judge". Ninachofanya nikuuombea uzao wangu uishi kwa kumpendeza Mungu na nikimuomba Yeye awafunike na maovu yote. Rehema ya Mungu itufunike.
Mimi sio nabii wala mtume. Na kuna tofauti kati ya kumfundisha mtu neno la Mungu. Sio kazi yako kumbadilisha mtu. Wewe nikumhubiria neno but it is the Holy Spirit that changes people!! Wewe kwa akili yako na nguvu yako huwezi. Tumemuuliza Mungu kwa kufunga na kuomba jinsi ya kulikabili hili!? Sidhani. Kila mtu anajifanya mtakatifu. Let's be real please. Mungu anatuona! Narudia kusema naomba rehema na hekima ya Mungu katika hili. "They brought to Him a woman of the City, accusing her of prostitution and wanted to stone her to death. ....the Lord looked at them and scribbled something on the soil and told them let who without a sin cast the first stone...!!! Matayo mtakatifu.Kama kila mtu angekuwa anaiangalia familia yake basi leo hii kusingekuwa kuwa na kanisa, manabii wala mitume, tatizo lako umepokea imani bila kuelewa wajibu wako. Kama ungeelewa kwa ubatizo wako umefanywa kuwa nabii na wajibu wako kukemea, kuwahubiria wengine na hata kuwakemea wengine. Amri za mungu kuu mpende mungu wako kwa roho yako yote, akili zako zote na kwa nguvu zako zote na mpende jirani yako kama nafsi yako, kwa hiyo husimwache jirani yako apotee dhambini eti sababu ukiongea nae utaona unamuhukumu, hata Yesu alikuwa anawakemea waandishi na mafarisayo waache njia zao, hivyo akina Elia pamoja na mitume wa Yesu na Mungu huwa anafurahi na kukujaria neema zake ukiwasaidia kiroho na kimwili watu wengine sababu kwa kufanya hivyo, sifa na utukufu wa Mungu unasambaa sasa ww uwahubirie na kuwaombea watu wafamilia yako unazani hapo kutakuwa na kanisa, kumbuka wewe ni nabii timiza wajibu wako wa kuhubiri na kukemea dhambi.
Basi hapo ni sawa na kuukataa ubatizo wako, hamna sehemu niliyosema uhukumu. Unapobatizwa unapakwa mafuta, je wewe yale mafuta kwako yana maana gani? Kila kitendo kilichofanyika wakati wa ubatizo kina maana, umekabidhiwa mshumaa wakati una batizwa je unajua maana yake? Sasa ukijua maana yake ndio utajua ww ni nani na wajibu wako ni upi. Usilete visingizio kila mbatizwa ni nabii na ni lazima ufanye kazi yako kama nabii, ukishindwa msome Elia na maisha yake, msome Yesu aliyetukabidhi hii imani na maisha yake.Mimi sio nabii wala mtume. Na kuna tofauti kati ya kumfundisha mtu neno la Mungu. Sio kazi yako kumbadilisha mtu. Wewe nikumhubiria neno but it is the Holy Spirit that changes people!! Wewe kwa akili yako na nguvu yako huwezi. Tumemuuliza Mungu kwa kufunga na kuomba jinsi ya kulikabili hili!? Sidhani. Kila mtu anajifanya mtakatifu. Let's be real please. Mungu anatuona! Narudia kusema naomba rehema na hekima ya Mungu katika hili. "They brought to Him a woman of the City, accusing her of prostitution and wanted to stone her to death. ....the Lord looked at them and scribbled something on the soil and told them let who without a sin cast the first stone...!!! Matayo mtakatifu.
Narudia tena tuombe hekima ya Mungu kuhusu hili. Kwa nguvu zetu sisi hatuliwezi. It's bigger. Na liko mpaka kwa watoto wadogo. Anza kwenye familia na watu wanaokuzunguka. Mtu pia aonywe kwa upendo na afundishwe neno. Bila kulijua neno the renewal will never happen. We need God intervention. Na tusitafute kiki kwenye matatizo ya watu.Basi hapo ni sawa na kuukataa ubatizo wako, hamna sehemu niliyosema uhukumu. Unapobatizwa unapakwa mafuta, je wewe yale mafuta kwako yana maana gani? Kila kitendo kilichofanyika wakati wa ubatizo kina maana, umekabidhiwa mshumaa wakati una batizwa je unajua maana yake? Sasa ukijua maana yake ndio utajua ww ni nani na wajibu wako ni upi. Usilete visingizio kila mbatizwa ni nabii na ni lazima ufanye kazi yako kama nabii, ukishindwa msome Elia na maisha yake, msome Yesu aliyetukabidhi hii imani na maisha yake.
Imani yangu inaniambia ushoga sio dhambi pekee mbele ya macho ya Mungu. Sitamtupia mtu jiwe kwani it is written "Let who is without sin, cast the first stone!!". Naomba rehema na toba Mungu aniepushe na kuhukumu watu kwani Yeye ndiye mwenye haki hiyo.
Yani mtu hata ujifanye unatoa ushauri kwa habari ya kuwatoa watu kimaisha haitoshi kuonyesha hiyo ndiyo sababu ya watu kuwa mashoga.mada hii na mtoa mada unaashiria kuunga mkono jambo hili baya na la kipumbavu kabisa hapa duniani.msilete mada hapa za kuwalemba mashoga aisee..mimi binafsi nikiliona lishoga hua natamani nilinase makofi kama elfu tatu mia saba hivi.hicho kitendo huku Africa msitake kuiga iga,wengine wanaweza kuwatengenezeeni story tu ili kuwahadaa watu wa Africa waone ushoga kama ni kitu cha kawaida sana na kumbe ni jambo la kishenziInasemekana Alexandre the Great alikuwa shoga. Fikiria huyu mwanaume aliyekuwa na nguvu ya kuteka nchi na kuendeleza himaya yake lakini hakuwa mkamilifu.
Roman Army ilikuwa na mashoga, walifanya kwa siri kubwa kwani ilikuwa ukigundulika unauliwa. Wengi baada ya kustaafu ilibidi waoe ili kuficha aibu kwenye jamii.
Mashoga wa Ulaya wamepigana sana kupata haki sawa. Ni mpaka miaka ya 1960 wanaume walifungwa kwakuwa mashoga. Waliitwa insane na walitengwa na jamii.
Mashoga matajiri kama wakina Elton John, Terrence Higgins na wengineo wametoa mchango mkubwa sana katika utafiti wa Tiba ya UKiMWI.
Tofauti kubwa iliyopo ni tofauti ya uchumi kati ya nchi zetu na nchi za Ulaya. Vijana wetu wadogo wengi wako hatarini kujihusisha na matendo ya kishoga kwasababu za ki uchumi tofauti na vijana wa Ulaya ambao huchagua maisha hayo.
Nguvu nyingi ielekezwe kuokoa vijana kiuchumi kwa mipango endelevu.
Hamna mtu anayetafuta kiki, ila sehemu yoyote ile ukiona kuna tabia mbovu usiiache kuikemea , eti utaoneka unatafuta kiki, huo ni wajibu wako ukishindwa Mungu atakuuluza kwani lengo la Mungu hataki binadam yoyote apotee dhambini . Sisi ni binadam tunahitaji kusaidiana na kurekebishana sisi kwa sisi kiroho na kimwili na ndio maana Mungu katupa vipawa tofauti, ila kwa kubatizwa kwetu tumefanya tuwe manabii, ili kusaidiana na viongozi wetu wa kiimani kuwatafuta waliopotea na kuwarudisha kundini.Narudia tena tuombe hekima ya Mungu kuhusu hili. Kwa nguvu zetu sisi hatuliwezi. It's bigger. Na liko mpaka kwa watoto wadogo. Anza kwenye familia na watu wanaokuzunguka. Mtu pia aonywe kwa upendo na afundishwe neno. Bila kulijua neno the renewal will never happen. We need God intervention. Na tusitafute kiki kwenye matatizo ya watu.
Serikali yenu inertia tamko kuwa haina matatizo na mashoga msala ulikuwa wa Bashite mwenyeweDada nimejaribu kufuatilia thread zako za karibuni lakini pia comments zako kuhusu masuala mazima ya ushoga na mapenzi ya jinsia moja. Nachelea kusema kuwa unapenda na kufurahia mambo haya.
Sijui wewe ni muumini wa dini gani, ila kama ni miongoni mwa hizi mbili (ukristo, uislam) moja wapo.Tuambie mafundisho yako ya Mungu wako anasemaje kuhusu ushoga na mapenzi ya jinsia moja?. Tuambie Mungu alifanya makosa kuangamiza watu wa sodoma na komoro kwa vitendo vyao?
Najuwa mnaposoma vitabu vyenu vya dini kuna wakati wa kutafakari maandiko mliyosoma Je kuna mafunzo gani na mazingatio gani katika kisa hiki cha sodoma na komoro?.
Hivi ni kweli jamii inapaswa kuiga kila kitu wanachofanya wazungu kwasababu ya maendeleo yao, hivi ni lini sisi Waafrika tutaigwa na hao wazungu?
Nakemea matendo yote machafu haijalishi mimi nafanya au nani anafanya kama ni chukizo basi nakemea