Ukweli kuhusu ushoga

Huu ushoga na usagaji mimi siuungi mkono kwasababu utapelekea kuwepo kwa ndoa za jinsia moja, na kukiwa na ndoa za jinsia moja itakuwa balaa maana watu kama mimi tutakosa papuchi za kupiga , maana kama wanawake wataoana wao kwa wao sasa mimi nitamuoa nani? Hii kitu italeta italeta upungufu wa wanawake, yaani tutaishia kuwaona tu...
 

Mkuu hii kampeni inawakumbusha wengi kampeni ya madawa ya kulevya.

Sasa hayo majina anayotumiwa, kuna watu wengine wana maadui na mtu anaweza kutuma jina la mtu anayemchukia. Na kama kweli njia wanayotumia kuhakikisha kama mtu ajaingiliwa kinyume cha maumbile ni hile waliomfanyia yule dada mpaka akashindwa kukaa basi subiri machafuko. Mwanaume wa ukweli huwezi kumfanyia vile vipimo vya kijinga akakuacha salama. Kuna kitu viongozi wa sasa wanatafuta kutoka kwa wananchi. Naona sasa watawakamata mpaka wake za watu wanaofanya hili tendo na wanaume zao wa ndoa.

Swala lingine hili tendo halifanywi na mtu mmoja, kwanini wanawakamata wanaoingiliwa tu kwanini wasiwakamate na wale wanaowaingilia? Maanake wote wanahusika kwenye kuvunja sheria.

Na je hii sheria ni Dar tu? Au ndio kuna walengwa?

Swala la ushoga lina weza kusababishwa kwa njia nyingi tofauti kuanzia malezi, kuzaliwa na hormones zaidi za jinsia yako, mazingira au tukio kama la kubakwa na wale wanaofata mkumbo/kuchagua. Kabla hatujawahukumu lazima tujaribu kupata historia yao hili tujue tatizo ni nini hili tulinde kizazi kinachofuata.

Malezi - Wazazi ni muhimu sana kuwa karibu na mtoto wako hili huweze kumrekebisha pale anapofanya vitendo visivyoendana na maadili/malezi yetu. Pia sisi wazazi wa kiume ni muhimu sana kutafuta mda kutumia na watoto wetu wa kiume hili wajifunze kutoka kwetu. Mambo ya kumuacha mtoto kazungukwa na mama na dada zake siku nzima kuna mambo ataanza kuiga ambayo hayataendana na tabia za mtoto wa kiume.
Swala lingine kwenye malezi siku hizi vipindi vingi kwenye tv sana sana vya nje vina mambo ya ushoga kwahio nimuhimu kuwa makini na kujua watoto wetu wanaangalia nini. Mtoto mdogo anaweza kuona wanaume wawili wamekumbatiana kwenye tv na kujaribu kufanya kile kitendo kwa rafiki yake au kaka yake.

Mazingira - Tuwe makini na watu waliokaribu na watoto wetu. Mara nyingi ndugu wanaanza kuwaaribu watoto wakati mzazi hajui. Na ndugu wanaofanya vitendo hivi huwa wanawatisha watoto hili wasitoe taarifa; siku mzazi akijua mtoto anakuwa kashaharibika.

Muhimu hapa wazazi turudi kwenye malezi ya watoto wetu, tuache kuacha facebook, instagram na tv kulea watoto wetu. Tupunguze mda pia kwenye social media hili tupate nafasi ya kuendelea kuwafundisha maadili watoto wetu sana sana kuanzia miaka 10 mpaka 17. Hili kundi wanakutana na vishawishi vingi sana kuanzia marafiki zao mpaka watu wazima. Tujaribu kuwapa mahitaji yao hili kuepusha kupata tamaa ya kupokea hela hili wafanye vitendo vya ajabu. Tujenge urafiki nao hili tujue kinachoendelea katika mawazo yao.

Tukiweza kuongeza mda wa kukaa na watoto wetu hili tuwape malezi/mafunzo bora hatutakuja kujenga chuki na watu wenye tabia ambazo hazituhusu.
 
Senkyuu.Nimerudia kusoma.Ila ni kharamu kubugia TiGO yoyote iwe ya ndume au jike.Ni sawa na kumbugia punda tu.Illegal Penetration!
Haha! Tunashukuru Mo amepatikana salama salmini, tumeshasahau sahivi tunaongelea uTigo😂😂😂
 
Who are you to judge? The world now has become a small village, yes we need to educate our children but what are you going to do with the James Delicious? Are you going to kill them?
 
Michael Jackson shoga
C.E.O wa Apple shoga
Elton John shoga
Sijui nan shoga
fulan shoga
 
Sifurahii ushoga lakini lazima niuheshimu mchango wao katika jamii. Leo hii HIV si tishio tena dunuani labda uwe mzembe lakini gay community imepigana sana katika ku lobby serikali kubadilisha sheria na watu wapate tiba bila kujali gharama.

Inamaana hatukubali pesa unayoletwa na watalii wangese?
 
Papuchi ni tamu sana, sioni sababu ya kula tigo za wanaume wenzangu, ikitokea mwanamke anahitaji nimle tigo nitakula kwa ajili ya kumfurahisha tu
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Who are you to judge? The world now has become a small village, yes we need to educate our children but what are you going to do with the James Delicious? Are you going to kill them?

Who are you to judge? The world now has become a small village, yes we need to educate our children but what are you going to do with the James Delicious? Are you going to kill them?

I'm no one to judge, lakini msimamo wangu upo palepale, ufiraji na ufirwaji ni chukizo mbele za Mungu. Huku Afrika elimu tu haisaidii, inahitajika nguvu kubwa kutokomeza huu uchafu.

Kwa hiyo wewe umefurahi amba alivyotupia anavyoliwa makalio? Unaweza hata kumuonyesha mwanao video ya yule dada akiliwa kalio? Ndio wanafanya sirini, inakuwaje mtu atoe uchafu wake hadharani? Najua vijana wengi sasa hivi wanatafunana nyuma, lakini wanatuonyesha uchafu huo ili iweje, wanataka kutuonyesha nini?

Basi fanyeni sirini vijana wengine wasiharibike, ukichekea hawa watu kila mtu ataanza kurusha vifiro mitandaoni, its worse.

Achana na habari za misaada ya wazungu, achana na gays waliofanya hadi madawa ya hiv yakapatikana, kwanza wao ndio chanzo cha yote haya.
 
Hili swali hawalijibu hawa wanaosapoti ushoga,
 

Kwa Siku mbili kama siyo tatu mfululizo nakuona Dada yangu uko ' so active ' katika ' threads ' za Ushoga lakini pia umekuwa ukianzisha ' threads ' nyingi za mambo ya Ushoga na sasa nakuona pia kama ni ' Key Advocate ' wa hawa Watu. Kuna nini nyuma ya Pazia Dada yangu Kipenzi?
 
Tumeambia tusihukumu ila kumbuka wakati una batizwa, ulipakwa mafuta bila shaka wewe ni nabii lazima umwambie na umuelekeze mwenzako akikosea hata kama akikasirika. Alafu tusihalalishe upuuzi eti kisa Alexander the great, da vinci walikuwa mashoga kumbuka hawa ni binadam na wazaifu na ndio maana shetani akawa jaribu na wao wakakubali kujaribika . Wewe unachotakiwa kuwahubiria wanapokosea na hata kukemea, Yesu haku muhukumu mtu, ila aliwa hubiria upendo wa Mungu kwa mtu atakaye kubali kuomba toba na kubadilika na Kuna kipindi hakusita kukemea hadharani dhambi. Tusihalalishe huu upuuzi kwa hicho kigezo chako cha akina Alexander great na da vinci hao pamoja na nguvu na ugenius wao, lkn wao ni binadam na wanajaribiwa na shetani cha msingi timiza wajibu wako kama mzazi, mwana jamii katika malezi ya watoto wako na watoto wa majirani zako na ukiona hawakuelewi vaa unabii wako na ukemee kwa nguvu, ili jamii yetu, kizazi chetu kisipotee na tulinde tamaduni zetu za Kiafrica.
 
Who are you to judge? The world now has become a small village, yes we need to educate our children but what are you going to do with the James Delicious? Are you going to kill them?
Dada samahan mfano mwanao akawa shoga , akaletewa posa aolewe ,utakubali?
 
Kusema ukweli sijafurahia kitendo cha Amber lakini pia nimesikitishwa na treatment aliyopewa. Ushoga ni dhambi na ulikuwepo hata wakati Yesu yupo. Kama Sodoma na Gomorrah walishindwa kuutokomeza tutaweza sisi?

Nguvu haitasaidia kupigana na hili tatizo. Ninakumbuka katika kutafuta nilifanya kazi kwenye kituo cha psychologists and counselling nilikuwa karani tu mpokea simu. Kuna kijana alipiga simu alikuwa referred na daktari wake. Anataka counselling. Ndiyo amejigundua kuwa ni gay baada ya kumaliza six form. Hawezi kuongea na wazazi wake na anaogopa marafiki zake watamtenga.

Sasa kijana kama huyu asipopata psychological help mtamkuta amekunywa sumu na amri RIP . Kumbe angeweza kuwa mathematician mzuri tu na kusaidia watu kama Sky Eclat lufaulu mitihani.
 
Nenda zako Shetani.
 
Upo sahihi kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…