Ukweli Kuhusu UKIMWI

Ukweli Kuhusu UKIMWI

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
cover-one.jpg


Ukweli Kuhusu UKIMWI ni kitabu kinachotoa maelezo yanayoipinga dhana inayosema ugonjwa wa UKIMWI husababishwa na Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kupitia maandiko kadhaa ambayo yameshaandikwa na wanasayansi wengine duniani kwa kutumia lugha ya Kiswahili katika mfumo kwa kieletroniki na kusomwa katika kompyuta, tablet na baadhi ya simu zenye uwezo wa kusoma vitabu katika mfumo wa kieletroniki.

Nunua kitabu hiki sasa na upate majibu ya maswali hayo hapo juu. Ili kukinunua kitabu hiki bonyeza hapa.
 
Hongera bwana paulo kutumia mitandao ya kijamii kujiingizia kipato; unauza magari aina ya toyota double cabin mpya kwa millioni 10! unatafuta idadi ya marafiki ifikie .....! Unauza vitabu vya ukimwi! Unauza vitabu vya maajabu ya maji ........! Endele kutumia fursa mkuu utawapata wa kuwaingiza mkenge.:A S 114::tape:
 
Unaweza kupata hela nzuri sana ukienda kuwauzia PSI ili wao wavisambaze. PSI wanahusika na kitengo cha commuinication na awareness ya HIV (global fund projects).
 
Unaweza kupata hela nzuri sana ukienda kuwauzia PSI ili wao wavisambaze. PSI wanahusika na kitengo cha commuinication na awareness ya HIV (global fund projects).

Wazo zuri mkuu, nitalifanyia kazi
 
Hongera bwana paulo kutumia mitandao ya kijamii kujiingizia kipato; unauza magari aina ya toyota double cabin mpya kwa millioni 10! unatafuta idadi ya marafiki ifikie .....! Unauza vitabu vya ukimwi! Unauza vitabu vya maajabu ya maji ........! Endele kutumia fursa mkuu utawapata wa kuwaingiza mkenge.:A S 114::tape:

Hapo sijakuuzia hiyo gari, sasa sipati picha ningekuwa nimekuuzia ungetamka maneno gani
 
Back
Top Bottom