Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

mkuu mweusi alikuaga mtoto wa nuhu aliemchungulia baba ake....[emoji23][emoji23] ndie baba wa weusi wote
Wapi imeandikwa Ham alikuwa mweusi?? Na aliyemchungulia alikuwa Canaan ndio akamuita baba yake aje kuona na ndio maana laana alipewa Canaan sio Ham!!!
 
Funguka mkuu utupe elimu... adimu hii kuipata huku mtaani
 
Hata sijakuelewa

mkuu mweusi alikuaga mtoto wa nuhu aliemchungulia baba ake
Ndio nkajibu Ham hakumchungulia baba yake ila mtoto wa ham aliyeitwa Canaan ndio alimchungulia Nuhu.... Ndio akaenda kumuita Baba yake yaani Ham naye aje kuona Nuhu alivyokuwa uchi na ndio maana Nuhu akamlaani Canaan na sio Ham sijui tunaelewana hapo

....[emoji23][emoji23] ndie baba wa weusi wote

Ndio nmeuliza mrembo wapi imeandikwa Ham alikuwa mweusi.... Swali tu tusaidiane

Ahsante
 
Mkuu hua nasoma ule uzi uliokua unabishana na kiranga hadi nikapiga salute upo vzr..

Mkuu lkn msichoke kutuelimisha sisi ndo mabadiliko yenyewe hayo..
 
Kuna mti flani unaitwa mmavmav sidhani kama ulikuwepo hapo bustanini vinginevyo malkia asingepumzika humo, maana harufu yake hata choo cha soko pana afadhali.

Mkuu ndugu yangu umenikumbusha mmavimavi nimecheka kwa sauti kubwa sana, kwa mana matukio niliofanya nao shuleni yanatosha,
 
Hapo nmeelewa...
kwahiyo canaan ndio aliepewa laana ya weusi...
kizazi cha zamani bwana ,asa mtu utaendaje kumchungulia baba ako akiwa uchi[emoji23] [emoji23]
 
Hapo nmeelewa...
kwahiyo canaan ndio aliepewa laana ya weusi...
kizazi cha zamani bwana ,asa mtu utaendaje kumchungulia baba ako akiwa uchi[emoji23] [emoji23]
Hahahhahaa wazungu wahuni tu hakulaaniwa mweusi yoyote maana Ham alikuwa na watoto wengi tu sasa kwanini akilaaniwa Canaan ndio waseme weusi wote ilihali katika watoto wake 4 ni mmoja tu alilaaniwa

Kuhusu kumchungulia huenda alimuona mdingi ana ki-le mutuz akashindwa jizuia kucheka 😀😀😀😀😀😀
 
Hahaha imebidi nicheke pia
 
Ngoja nikasome bible tena
 
Ngoja nikasome bible tena
Mkuu kwenye bible haijaandikwa ila nimesoma tu vitabu vingine vya historia vya wayahudi.... Kwenye biblia pia Nuhu alimlaani canaan sio Ham ikimaanisha kuna ukweli flani kuhusu vitabu nilivyosoma maana kma Ham alimchungulia kwanini laana iende kwa Canaan na sio watoto wengine wa Ham yaani cush puth na mizraim??
 
Mkuu Mshana jr Alishatuletea Baadhi Ya Mambo Huko

CC: Mshana jr
 
nilisoma kitabu kimoja kinaitwa the great voyages, kinaelezea voyages za zamani tangu enzi za akina marcopo, vasco dagama, chripher columbus, na wengine wengi.

kabla ya hawa jamaa kuanza harakati za exploration baharini wazungu walikua na uelewa mdogo sana katika dunia na mabara kama afrika, amerika na sehemu kubwa ya dunia walikua hawaijui kabisa, kwaiyo kipindi icho dunia waliokua wakiijua ilikua sehemu ndogo sana na sehemu ya bahari waliokua wanaijua ilikua ndogo sana.

walikua wanajua bahari ni kama ziwa kwamba huwezi ukazunguka ukarudi palepale yani utaenda lakini kuna mwisho, sasa kama kipindi icho cha miaka ya 1400's upeo wao uliishia apo jiulize kipindi cha habari za vitabu vya dini wanapozungumzia dunia upeo wao ulikuaje.

point ni kwamba dunia waliokua wanaijua ilikua ni sehemu ambayo wao wanaitambua wala walikua hawaijui kwa mapana kama ilivyo sasa walikua hawajui kama kuna afrika, amerika, bahari ya hindi na sehemu zingine ambazo hawajawai kufika.
 
Mkuu hua nasoma ule uzi uliokua unabishana na kiranga hadi nikapiga salute upo vzr..

Mkuu lkn msichoke kutuelimisha sisi ndo mabadiliko yenyewe hayo..
uzi upi huo nipe link tafadhali
 
Kwahiyo hata huyo baba yako huamini kama ni baba yako coz wakati mimba inatungwa hukuwepo piaa...
 
ingia
tzworships.blogspot.com utapata habari za ufalme wa baberi na mengine mengi
 
Story zingine bwana walitawala hadi Tanzania kwa njia gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…