lumanija1990
Member
- Jan 6, 2016
- 16
- 10
Yan mpaka leo unaamini hizo hadithi??Wasalaamu ndugu wana jf.
Jamani nataka kuelewa machache kuhusu huu ufalme, inasemekana huu ufalme ulikuwa ufalme wenye nguvu zaidi kuliko falme zote duniani na inasemekana pia ulitawala dunia yote chini ya mfalme Nebukandneza, je ulitawala na afrika yote mpaka kusini mwa jangwa la sahara maana ulitawa dunia yote.
Pia inasemwa kuwa kulikuwa na bustani inayoelea, je ilikuwa inaeleaje na ilikuwa bustani ya maua au mbogamboga maana bustani zipo za aina nyingi.
karibuni wajuzi wa mambo haya.
hiyo bustani inasemekana haikuwa inaelea kama inavyofahamika na wengi ,but ilijengwa katika muundo wa kama ngazi fulani hivi na ilikuwa ni zawadi kutoka kwa mfalme debkadnez kwenda kwa mkewe,yaani aliijenga mahususi kwa ajili ya mkewe,ilikuwa imepangiliwa vizuri mno huku ikisemekana kuwa ilikuwa na kila aina ya mmea unaoujua hapa dunianinipo interested kujua kuhusu hiyo garden inayoelea.mwenye ufahamu please
mkuu mpaka MJANIhiyo bustani inasemekana haikuwa inaelea kama inavyofahamika na wengi ,but ilijengwa katika muundo wa kama ngazi fulani hivi na ilikuwa ni zawadi kutoka kwa mfalme debkadnez kwenda kwa mkewe,yaani aliijenga mahususi kwa ajili ya mkewe,ilikuwa imepangiliwa vizuri mno huku ikisemekana kuwa ilikuwa na kila aina ya mmea unaoujua hapa duniani
Ulikuwepomkuu mpaka MJANIulikuwepo ?
mflme alikuwa anapiga kitu siyoUlikuwepo
yeah,ilikuwa na kila kitumkuu mpaka MJANIulikuwepo ?
Kuna mti flani unaitwa mmavmav sidhani kama ulikuwepo hapo bustanini vinginevyo malkia asingepumzika humo, maana harufu yake hata choo cha soko pana afadhali.yeah,ilikuwa na kila kitu
Duuuh, kitu chochote ambacho kilitokea kabla wewe hujazaliwa ni hadithi tu, hakiaminiki, na unakijua kupitia kumbukumbu zilizo katika maandishi. Kwa mfano, mimi kwa kuwa sikuwepo wakati wa vita ya kwanza ya dunia, nitakuwa sahihi nikisema ni hadithi tu, kisa sikuwepo wakati huo? Tafakari.Yan mpaka leo unaamini hizo hadithi??
ha ha ha mkuu ule mpaka ukiusaga bwana habali yake si mchezoKuna mti flani unaitwa mmavmav sidhani kama ulikuwepo hapo bustanini vinginevyo malkia asingepumzika humo, maana harufu yake hata choo cha soko pana afadhali.
Huu mti nakumbuka kulikua na mtihani wa mock wa shule ya msingiha ha ha mkuu ule mpaka ukiusaga bwana habali yake si mchezo
nakumbuka school boarding kuna mshkaji aliibiwa tomato yake si unajua tena chakula cha boading kilivyokibovu bila tomato akipandi sijui
aliupata wapi huo mmea aisee mpk tukamludishia tomato yake ndo akatuonyesha alipouficha huo mmavimmavi mana bwenini kulikuwa akulaliki
nimekumbula mbari sana aisee
ha ha ha ha school vituko sana ni maisha ambayo nikikutanaga na classmates zngu huwa naenjey sana tukikumbushana ya school au hata ikatokea tukio ikanikumbusha school hufulahi sana mkuuHuu mti nakumbuka kulikua na mtihani wa mock wa shule ya msingi
sasa kuna mwalimu kaja kutusimamia mnoko kishenzi mtihani wa kwanza kakaba hadi penati no chabo no kuibia
mtihani wa pili kuna mtu kaja na mbegu zake kazivunjia pale mbele ya darasa yule mwalimu akaingia baada ya kugundua akasema "HAPA HATA MUWEKE MAVI SITOKI MBUZI NYIE"
nilicheka mpaka hapa nacheka tu
we raia umenifurahisha kinomanoma...😀mflme alikuwa anapiga kitu siyo