Ukweli Kuhusu UDOM huu hapa

kama issue ni kutumia udini katika vyuo vikuu kwa kugawa mishahara, ni uwongo, hamna kitu kama hicho..mishahara ya vyuo vikuu inalipwa na hazina na inajulikana kuanzia mwenye degree moja mpka mwenye Phd mishahara inajulikana kwas scales, walim wa chuo sio wachezaji mpira mpaka watofautiane mishahara..ni vyeti vyako tu vinakupa mshahara na publications zako


TUFUNGENI HUU MJADALA TAFADHALI
 

Haa wapi, acha uongo wewe

Mimi sishangai sana maana "Christians" hasa nyie RC wana tabia za watoto wa kambo, hawana jema. Hata JK na Mzee ruksa mmeshawahi kuwahesabia mawaziri. Leo hii wakuu wa vyuo, kesho wafagia barabara. Angalieni mnaamsha tuliolala!

Na mkishaamka mtafanya nini? Mtaanza kujilipua kwa mabomu na kuua wanawake na watoto wasio na hatia kwenye daladala kama kawaida yenu?
 
Any way, watu wanatofautiana katika familia. Huyu Prof Kikula ana mdogo wake pale Mzumbe University. Ni mtu mzuri mno. Sijaona upendeleo wa kipuuzi, tangia wakati nikiwa mwanafunzi wake, hadi sasa tunafanya kazi faculty moja.
 
mamkwe tunashukuru kubainisha ukweli. Sasa tuleteee data kama hizo za sua, uclas, muhimbili na udsm.
Tulinganishe na kupata ukweli wa mambo.

Allah akubariki saaaaaaaaana
nimeweka za mzumbe wako kimya vinywa wazi.
 
udini wa nyerere ndio ulimfanya amuweke mkapa awe rais wa tanzania kwa vile ni mkatoliki na mkristu mwenzie ingawa hakuwa na sifa ya urais.jee wewe ulimuelewa nyerere kumpa nchi mkapa na kumnyima malecela?
 
MADA KAMA HIZI KILA JK AFANYAPO TEUZI ZA WAISLAM HUWEKWA MADA HIZO KAMA UTEUZI WA ASHA ROSE MIGIRO-FOREIGN,BALOZI RAJAB ADADI,JAJI KIONGOZI JUNDU N.K.ulikuwa wapi kukemea uchonganishi huo?
 
Hivi mnatumia methodology gani kujua dini ya mtu?
unamwangalia usoni? au unaangalia jina lake au mnafanyaje wandugu?

sIKU YA KUFANYA NYANI MITI YOTE HUTELEZA.swali hili waulize walioazisha topic nyingi dhidi ya JK kuwa mdini,kamati kuu ya ccm ina waislam asilimia 75 ni moja kati ya topic zilizomo humu.ulikuwa wapi kuuliza maswali yako haya ya kijinga namna hii? hivi wewe hujui kuwa Mizengo Pinda au Shein ni dini gani? una matatizo makubwa kichwani kwako.
 
samahani kwa kuwarudisha nyuma, hivi hapa swala ni dini mtu aliorithi, anayoamini au ni utendaji wake?
manake kama anafanya kazi ya ovyo, lazima awajibishwe, bila kujali dini yake, na ndio JF inaposimamia, tusipotezane,
Swala la anasali wapi, tumuachie yeye na mungu au shtani wake.
Kama Mkapa yuko kama kivuli, na yeye ndie bosi, awajibishwe ka kutega kazi. na kushindwa kuperform.

Vita hii ya udini inatupeleka kubaya, manake hakuna mshindi, hata sijui mnaipendea nini. Manake wote hapa tuna marafiki, ndugu na jamaa mchanganyiko, ina maana tunawapenda hadi wapi?

Nilisema hivyo tangu zamani kwenye vita ya ufisadi, tusifuate personalities kwa chuki binafsi, tutafute hela zetu zilizopotea na kuwashitaki waliozipoteza, basi. hata akiwa ndugu yako.

Sio tu kumchukia mtu na kumpaka matope kwa utajiri wake au udini wake au kabila lake.
Lazima utaishia kuchafua hewa tu na bila kupata unachotaka.

Ufisadi, wizi wa mali ya umma, upendeleo kazi, leta hoja, ushahidi, hakuna hata haja ya jina wala dini wala kabila, taja tu ofisi na majukumu yake inatosha. watu watajua kama una point au la.
Inasikitisha siku hizi JF imeingiliwa na wasiopenda HAKi ya ukweli, pamekuwa mahali pa kuchafuana na kusafishana, this is so low!!!!
Inatupa ugumu wa kuchuja mada za kusoma au kuignore.

Please jitahidini kidogo,
zile comments za lete ushahidi, ziko wapi? ukiuliza lete ushahidi unashambuliwa weeeee
 
Hivi wazungu nao wana udini na ukabila?
Mnajifunza nini nyie mnao shikia bango udini udini na ukabila nyamazeni nyie mmesoma nawashangaa kuanza kushikia bango maswala kama hayo nendeni mkapige shule na nyie muajiliwe huko...sio kufrahisha vinywa tu hapa.
 

Mkuu Fidel, wazungu ni watu / binadamu kama wewe na mimi, na niwabaguzi saana tena wabaguzi namma moja kwa kila kitu, kuanzia, rangi, dini, hadi ukabila/utaifa.

Kama wataka kujua kama wana udini au la Jiulize Vita ya Ireland Kaskazini kiini chake nini???, pia chunguza Marwa Ali Al Sherbini kwa nini aliuwawa??.
 
Mimi nadhani jambo la udini linakuzwa na watu fulani kwa faida zao wenyewe.
Demokrasia sio domogasia. .

Hapa umenena na nakubaliana na wewe!!!. Na wanaokuza jambo hili ni hawa wanaokurupuka kuleta mada za Kuna udini hapa au pale kwa vile tu aliyeteuliwa hakuwa wa dini wanaiyotaka wao.


Hapa ndipo matatizo yanapoanzia, watu wanapenda kutuhumu watu udini kwa sababu mteuliwa ni dini moja na Mtezi.!!,

Kuna nafasi nyingi za uongozi hapa nchini ambazo viongozi wake wanateuliwa na Raisi. Kinachotokea sasa ni kwamba Mkulu wa nchi ni Muislam akiteuwa muislam watu wanasema udini, lakini point ya msingi ni kwamba wanaoleta hoja za udini hawaleti vielelezo kuonyesha kuwa aliyeteuliwa hana sifa na vigezo vya kushika wadhifa huo bali, hukimbilia kulalama kuwa ni upendeleo wa dini. Hapa ndipo hoja ya kuwa pengine walalamikaji wana maslahi binafsi katika hili inapokuwa sahihi.

Ajabu ni kwamba wakati raisi Mkatoliki alipokuwa akiteuwa wakatoliki, sikuona watu wakilalama juu ya udini, Kwa wenye Akili Huru za kufikiri ni rahisi kubaini dhahiri kuwa wakorokotwa wa Udini ni nani hasa na Kwa maslahi ya nani.
 
Ajabu ni kwamba wakati raisi Mkatoliki alipokuwa akiteuwa wakatoliki, sikuona watu wakilalama juu ya udini, Kwa wenye Akili Huru za kufikiri ni rahisi kubaini dhahiri kuwa wakorokotwa wa Udini ni nani hasa na Kwa maslahi ya nani.

Bakari Mwapachu alikuwa mkatoliki? Alnuur Kassam? Kigoma malima?

Unajua watu kama nyinyi ndo wale wanaoongoza BOKO haram, NA nyie ndio wale wanaojitoa muhanga in the name of ISLAM wakati ni waislamu FEKI.

Uislamu unasisitiza upendo ila nyie mmejaa chuki.

Shame on all Boko Harams like U.
 

Tatizo siyo KUTEULIWA. Mbona Nsekela alikuja kuwa analalamikiwa kuwa alijaza NBC Wanyakyusa? Yule Mpare wa Muhimbili sijui Mbaga na yeye akaja kulalamikiwa kuwa kajaza Wapare kwenye post zote za juu.

Anaweza kuteuwa Muislaam au Mpagani. Tatizo huyo aliyeteuliwa akiwa Mwizi, Mzembe, Fisadi na kupendelea Waislaam au Wakristo wenzake hapo ndipo shida inaanza. Au na kufisadi kwake kote, anaachwa kwa sababu tu ni muislaam. Hebu ona makampuni kama TRCL, Tanesco, NSSF, ATCL nk ambayo viongozi wake wanayauwa waziwazi kwa kufisadi na watu wanalalamika weee na hakuna kinachofanyika. Hebu kaangile ile video kaweka Invisible, jinsi Mwaarabu wanavyonyanyasa Wamasaai huko Loliondo na Mizengo Pinda hata hana habari............ Mkuu wa kaya anaenda tu kupata medali za dhahabu kwa kazi nzuri ya kuwaondoa Wamasaai kwenye ardhi yao. Mtu akisema, unaambiwa kuwa "Mnamshambuliwa kwa sababu ni Muislaam.......
 


Wewe ni mmoja wa vichwa humu ndani. Asante tena
 

Ni vizuri pia ungetoa idadi ya wahadhiri/Maprofesa Waislamu ambao wapo MU na hawana vitengo(japo wana sifa)...Tatizo mkuu ni kwamba waislamu wengi(asilimia kubhwa) hawana elimu Dunia,na mara nyingi ukimkuta Daktari/Profesa atakuwa ni wa masuala ya elimu ya kiislamu............
 
Last edited:

Ni vizuri mkawataja maProfesa Waislamu(Wanataaluma waislamu) waliopo kwenye vyuo hivi ambao wana sifa na kwa makusudi hawajapewa madaraka na badala yake wakapewa wakristu...
 

Sikonge,

..binafsi siamini kama JK ni Mdini na anataka kuisilimisha Tanzania.

..kwa kumsoma kwangu huyu Raisi wetu ni kwamba anapenda sana madaraka.

..kwa mtizamo wangu kama atateua Waislamu/Wakristo wengi zaidi ktk nafasi fulani basi ni kwasababu za Kisiasa siyo Kidini.

..teuzi nyingi za JK ni za kulipa fadhila za kisiasa kwa wale waliomsaidia ktk harakati zake za kutafuta Uraisi.
 

JokaKuu,

Hivi hao watu WANALIPWA FADHILA, wasingeliweza kutafuta wasaidizi watakaokuwa wanafanya kazi zote na wao kuwa na biashara zao hata kama watachukua MITAJI kutoka kwenye SHIRIKA. Wangelipata MISHAHARA, MITAJI, na MARUPURUPU ila shirika nalo lingeleta Faida na kuajiri watu wengi zaidi.
Mwisho wa siku, Rais angelipendwa zaidi, wapewa fadhila wangelikuwa wameshachuma vya kutosha, watu wamepata AJIRA, na kila mtu mwisho wa miaka 5 anakuwa KAFURAHI.

Unachagua JITU bila ya kuliambia lifanye nini kwenye hiyo POST. Linaboronga hata huliambii kuwa "ukiharibu wewe, unaniharibia na mimi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…