Ukweli kuhusu THE SHADOW GOVERNMENT (Serikali-kivuli)

Mkalibari

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
659
396
Habari wana jamii!

Poleni na mambo ya uchaguzi uliomalizika ktk taifa kubwa duniani, na hongereni kwa wale mlio pata matokeo mliyo yatarajia.

Katika mada ya leo ningepada kujikita ktk uongozi wa taifa la Marekani ( trending news for now),as we know kua inabidi tujadili maswala mbalimbali ya taifa hili hasa ktk issues za politics and power kwakua kwa namna moja ama nyingine hua zinaathiri mataifa mengine duniani na TZ ikiwemo.

Ukifuatilia fununu mbali mbali za kiutawala kule USA utasikia hiki kitu, "shadow government " ama serikali kivuli kama nilivyojaribu kutafsiri mimi kwa jinsi nijuavyo.

Maelezo ni kwamba hii ni taasisi au group ya watu inayoshikilia ulimwegu hasa marekani yenyewe. (japo wengi husema ni conspiracy) lakin kuna dalili nyingi zinazoonesha kua ni kweli...

Kuna fununu kua wao ndio wanamiliki mabenki, taasisi kubwa kubwa za kiraia, pia wanaiongoza UN na ndio huamua agenda zote za kutawala ulimwengu kupitia mikataba mbali mbali ya UN

Lakini pia kuna fununu kua ndio wamehusika na mauaji ya marais mashuhuri wa marekani kutokana na kile kinachodaiwa kutokufuata maelekezo ya kundi hili..i:e JfK,Abr Link n.k

Inasemekana kua ndio walinyamazisha ndoto za Obama wakati wa uongozi wake juu ya yale aliokua anayaona yana faa na badala yake akafuata yale wanayotaka wao na mwishowe Obama amemaliza kipindi chake kwa tathimini kua amefail kufikisha pale wengi walipo patarajia.

Soma hapa. Shadow government (conspiracy) - Wikipedia

Sasa kama kweli kuna kundi la watu ambalo lina iongoza serikali hii ya marekani, je ni kwanini raia wanalaghaiwa na uchaguzi wa kutafta rais wakati wakijua wazi ni lazima marais hao wawe wafuata upepo tu na maelekezo ya serikali kivuli?

Naomba wajuzi wa mambo haya mje hapa mtutoe tongo tongo za hii kitu..

Karibu changia.
 
Mkuu hizo habari za illuminanti tumezijadili humu toka miaka ya 2009, sasa tumeona ni uwongo mtupu maana hakuna aliyekuja na ushahidi ndiomaana hata hao Wikipedia wamekuandikia kabisa conspiracy inamaana hata wao hawana ushahidi wameishia kukisia na kutaja sehemu au taasisi ambayo mambo yao hawayaweki hadharani.
 
Kweli nafaham kua Wikipedia wameweka hiyo note, lakini pia hii limekua likisikika mara nyingi sana na hata nadharia zimejionesha hivi.... Mfano wakati wa sept11 (WTC) kuna report nyingi na articles mbali mbali zimetaja hili jambo.
 
(ngoja niivuruge mada)
Mleta mada nikusaidie tu,
hao wanaojiita shadow "gavamenti" ni majitu yenye nguvu kweli kweli na yanatisha mno.
hayo ndio yanaamua agenda gani ijadiliwe duniani.

ndani yake yumo Jecha,mwanasheria mkuu,mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi,watu wa usalama na majitu mengine ambayo yenyewe hayataki kuonekana kwasababu yapo nyuma ya serikali kivuli na yanaogopesha mno kuyatizama.
 
Katika picha ya kile kinachoendelea huko Marekani, kufuatia maandamano makubwa ya anti-Trump inadhihirisha kua the shadow government imemkubali huyu billionaire achukue nchi.

Maana wananchi tayari walionesha kile wanacho kitaka ktk box la kura na wakaenda mbali zaidi wakaingia mtaani(never happen before) lakini this elite group limenyamaza kimia tu.

The shadow government is at work just now!
 
Back
Top Bottom