Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,846
- 3,373
Mwanzoni nilikua naiona kama mpya kabisa, ila baada ya muda mara ika anza kubanduka sijui kioo walikabandika na gundi gani kika anza kutoka, ilipodondoka kidogo ndo ilisambaa, imagine non-removable betri sim inadondoka hadi inasambaa kila kitu.Ulikutwa na nini kiongozi?
Used from Dubai asee naziogopa izo simuMwanzoni nilikua naiona kama mpya kabisa, ila baada ya muda mara ika anza kubanduka sijui kioo walikabandika na gundi gani kika anza kutoka, ilipodondoka kidogo ndo ilisambaa, imagine non-removable betri sim inadondoka hadi inasambaa kila kitu.
Pole kiongozi, ulipigwa kitu kizitoMwanzoni nilikua naiona kama mpya kabisa, ila baada ya muda mara ika anza kubanduka sijui kioo walikabandika na gundi gani kika anza kutoka, ilipodondoka kidogo ndo ilisambaa, imagine non-removable betri sim inadondoka hadi inasambaa kila kitu.
Pole kiongozi, ulipigwa kitu kizitoMwanzoni nilikua naiona kama mpya kabisa, ila baada ya muda mara ika anza kubanduka sijui kioo walikabandika na gundi gani kika anza kutoka, ilipodondoka kidogo ndo ilisambaa, imagine non-removable betri sim inadondoka hadi inasambaa kila kitu.
Ndio hivo mkuu, hayo ya kawaida ndio tunajifunza.Pole kiongozi, ulipigwa kitu kizito
Hizi si nasikia wamezipiga pini kwenye android?Wakali wa kamera ni Huawei mkuu hizo p40, p50 ni hatari sana...
Na wewe una uzoefu nazo mkuu???Used from Dubai asee naziogopa izo simu
Tegemea mitetemo kwenye screen na kujitype ila camera ni nyooooko.Heee... Display je?
Duh iphone SE kado mno na ni old fashionBei ya hizo simu ni ndogo karibu robo ya bei yake ikiwa mpya mfano iphone se ni 140k so nashawishika kuzijaribu
Simu used from Dubai ni majanga en nowdayz zimejaa saanaUsed from Dubai asee naziogopa izo simu
Sijui kwa samsung na brand zingine. Mimi nimeshuhudia iphone mbili, tena nilienda na watu wawili kwa awamu mbili tofauti kununua iphone China Plaza kkoo. Moja ilikuwa 2019, nyingine tukanunua mwaka huu 2022.Simu used from Dubai ni majanga en nowdayz zimejaa saana
Tegemea kutembea na powerbankWakuu naomba mawazo yenu kuhusu used flagship za sony kama xz1, xz3 nk. Nyingi wanasema ni used from dubai na bei ni chee mno mfano xz1 ni 140,000/= sasa kwenye matumizi nitegemee nini? Ubora wake nini na udhaifu wake nini? Karibu tujuzane wakuu
Jamaa mshamba, hakuna simu ambazo wame optimize matumizi ya battery kama Sony. Watu wakiangalia battery wakaona ni 2390 mAh wanahisi halina nguvu ama halitadumu.Si kweli mkuu Hakuna Brand kama Sony Linapokuja suala la Battery life, sema si Sony zote zinakaa na Charge.
Simu mpya ya 140K sini itel mzee mwenzangu? Simu utanunua mwaka 22 ina ram 1GB na storage 16GB na latest android! Ukitumia mwezi tu ishaingiliwa na virus ukiwasha data ni matangazo kila dakika.Kwa nini ununue simu ya zamani wakati kwa bei hiyo unapata mpya?
Ninayo hio simu sema haina battery, inabanduka funiko la nyuma πππ haikuwa na battery nzuri kulinganisha na sony zingine nilizokuwa nazo.Ogopa sana hizo simu zinazokuja kwa jina la sijui used mara refurbished iyo ni kamali unacheza hapo, ukiweka hilo kichwani hutapata tabu, simu unakuta ilitoka 2016 mpaka leo, almost 6 yrs, kua makini mkuu, yalisha nikuta na sony xperia z5 sina hamu.
Na wewe ulipata kupitia machimbo niniπππNinayo hio simu sema haina battery, inabanduka funiko la nyuma πππ haikuwa na battery nzuri kulinganisha na sony zingine nilizokuwa nazo.
Nilinunulia Moshi zinatoka Nairobi kuleNa wewe ulipata kupitia machimbo niniπππ
Mkuu Sonya Kwa sasa Wana simu gani Kali hata Kama ni ya mwaka jana kwa budget ya 800k-1.5m?!Jamaa mshamba, hakuna simu ambazo wame optimize matumizi ya battery kama Sony. Watu wakiangalia battery wakaona ni 2390 mAh wanahisi halina nguvu ama halitadumu.
Sony wao android yao wameiweka katika namna ambayo imelimit background process nyingi na wana heat sink ambayo inafanya simu isichemke hata under high usage kama gaming kitu ambacho kinafanyaga battery ife mapema.
Mie nina Sony Xperia C3 Dual ilitoka 2015. Hii simu haina tatizo la charge kabisa, battery yake iliokuja na simu nimeibadili juzi hapa. Mwanzoni nilikuwa nikitumia Xperia Z1 nayo ilikuwa fiti sana. Nikahamia Z2 ndio ilikuwa bomba zaidi acha tu. Nikahamia C3 dual ndio hadi sasa ninayo.
Shida ya sasa ni kuwa simu iko slugish due to low memory sometimes. RAM yake ni 1GB its an outdated phone ila my next phone will be Sony.
Sony Xperia 1 series naona ziko vyema kuanzia II-IVMkuu Sonya Kwa sasa Wana simu gani Kali hata Kama ni ya mwaka jana kwa budget ya 800k-1.5m?!
Kuna OS yao sikumbuki na pia wana playstore yao kila kitu kipo..i.e whatsapp etcHizi si nasikia wamezipiga pini kwenye android?