vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,123
- 5,846
Kwahiyo Robertinho kaonewa?:Nilichokisema ni kwamba Simba imeachana na mpira wa kujifurahisha na kuelekea kwenye mpira was malengo toka imlete Pablo na waliomfuata watu wakadhani namtetea Robertinho