Ukweli kuhusu Pyramids

Mleta mada pitia mada za ancient mysteries na secret society utapata kamwanga hafifu kuhusu vitu kama hivyo
 
Two more astonishing featurea about pyramids. They are
Earthquake proof.
Alligned with an ever very high accuracy, to Magnetic North
 
Kipindi hicho bana kulikua na watu wanaitwa "giants" kama alivyokua goliath alieuawa na mfalme daudi. Unaambiwa hao ma giant hizo tofali za tani moja alikua anapanga bega hili mawili na huku mawili anachapa mwendo.
Mimi nadhani haya maPyramids yaljengwa na waisrael kipindi cha Yusufu mpaka wakati wa Musa,kipindi kile walichokaa wakazaana sana kule Misri,nadhani Pharao aliwatumia kufanya hiyo kazi,na ukumbuke hawa walikuwa ni special task force kutoka kwa Mungu mwenyewe...
 
Two more astonishing featurea about pyramids. They are
Earthquake proof.
Alligned with an ever very high accuracy, to Magnetic North
Hiyo ya kua earthquake proof ni kwasababu yalijengwa kuanzia juu kushuka chini, tofauti na majengo ya sasa ambayo tunaanza na msingi.
 
Hiyo ya kua earthquake proof ni kwasababu yalijengwa kuanzia juu kushuka chini, tofauti na majengo ya sasa ambayo tunaanza na msingi.
Sikubishii ulichosema ila naomba unipe uthibitisho. Yalijengwa kwa kuanzia juu kivipi? Zile Geat Piramid pale Giza, walianza kwa kuparua ardhi kuondoa udongo wa juu, ardhi yenye ukubwa sawa na viwanja sita vya mpira wa miguu. Sasa unaposema walijenga kwa kuanzia juu unamaanisha nini? Na je, ujenzi unapokuwa umeanzia juu, huwa unalifanya jengo liwe earthquake proof?
 
Nasikia ata jua lipige kutokea upande gani chini hakiwezi kutokea kimvuli cha hizo pyramids ni kweli?
 
Watu ww zamani walikuwa na MAUMBO MAKUBWA.warefu na wenye nguvu .sio kama wa sasa..
Unaambiwa adam alikuwa na urefu wa nguzo mbili za umeme uziunganishe pamoja ndo urefu wake
 
pyramids yalikuwa ni mawe/miamba ya asili yaani rocks kama yalivyo mawe ya mwanza, ila mawe hayo yalichongwa kwa ustadi na ufundi wa hali ya juu ndo wakatengeneza pyramids. Hata kuna mapango mengi mno ya mawe yaliyotengenezwa kwa kutoboa na kuchonga miamba/mawe.
 
Hakuna mwanadamu amejenga yale madude..mnaosema et binadam wa zaman walikua wakubwa..mbona hatuon majumba yao..mavitanda yao makubwa .silaha zao kubwa mishale etc...na uhakika kama walikua wakubwa hvyo archiological sitez zake zingekuepo na tungeshuhudia hata mabak ya silaha zao .so si kwel ...

Hayo madude nahis ni airports za spaceships za hao viumbe wa kutoka mahala pengne.
 
Watu ww zamani walikuwa na MAUMBO MAKUBWA.warefu na wenye nguvu .sio kama wa sasa..
Unaambiwa adam alikuwa na urefu wa nguzo mbili za umeme uziunganishe pamoja ndo urefu wake
Mkuu mimi nishushe
 
Kwa wasomaji wazuri wa Biblia na Historia wanatambua kabisa duniani zama za kale kulikuwa na watu wanaojulikana kama wanefili, Historia inawazungumzia walikuwa ni binadamu wenye nguvu na miili mikubwa sana.

Huenda hawa pamoja na watu wa zamani walikuwa ni watu wenye nguvu mno, tusisahau revolution ya mwanadamu. Binadamu wa leo ni tofauti kabisa na wa siku za nyumaz kuanzia ukuaji, vyakula mpaka maradhi.

Hakuna kiumbe chochote cha ajabu kinachohusika na mambo ya kiroho ambacho kimejenga humu ulimwenguni, vyote vionekanavyo ni Mungu muumbaji ameumba ama ni wanadamu wametengeneza.

Hakuna kiumbe kutoka sayar mbali wala kutoka popote pale, each and everthing uonacho basi kimeumbwa na Mungu, la ni mwanadamu amekitengeneza.
 
Sehemu yalipo na yalivyo jipanga unaona kabisa ualijenjwa na je mbona hapo yalipo hakuna asili ya miamba?
 
Kwa mujibu wa history na Bible wanefili waliangamizwa kwenye bara la Atlantica ambalo mpaka Leo ni barafu .na waliangamizwa wao na Kazi za mikono yao
 
Hao viumbe wa mahala pengine walifata nn
 
Kipindi hicho bana kulikua na watu wanaitwa "giants" kama alivyokua goliath alieuawa na mfalme daudi. Unaambiwa hao ma giant hizo tofali za tani moja alikua anapanga bega hili mawili na huku mawili anachapa mwendo.
vijana wa sasa mtungi mdogo wa gesi anatuma bodaboda hawezi kubeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…