Ukweli kuhusu Pyramids

Hayo yamejengwa na waisraeli walipokuwa watumwa nchini Misri kwa mujibu wa biblia
Hayo ma pyramid ni ya zamani sana kabla hata enzi za hao wa israeli tena kipindi cha Israel ya misri ndo kipindi ambacho utawala wa misri unaelekea kufa
 
Teknolojia ya kujenga mapyramid ilianzia mkoa Kagera huko Kanyigo kando ya ziwa victoria, historia inaonesha kabisa kuwa kuna pyramid ilkuwa na urefu wa futi 21,000 sawa na mita 3000 hivi iliangushwa wakati wa utawala wa pharao mmoja toka tawala ya chattle, mwaka 2016 kuna spaceship ilikuja ikatua kisiwa kimoja kinaitwa Goziba, hawa viumbe walkuwa wamekuja kuchota elimu kuhusu namna ya kutibu kirusi kipya kilichokuwa kimeibuka huko planet X bahati mbaya wakakuta wahaya wako busy na kula bata na kugegedana! Kama kuna mtu anaweza review miaka kama minne hivi kuna mshindo mkubwa ulitokea kagera ambapo kitu kama kimondo kilidondoka na kusababisha tafrani, hicho hakikuwa kimondo bali ni space ship ilikuwa imetua kutoka nibiru! Kwa sasa hizo pyramid hatuwezi tena sisi tumebase na kula watoto wazuri

Ova
 
Kugegedana tu mwanzo mwisho maisha hayaeleweki
 
Ina wezekana kunywa Pepsi baridi mkuu, hapa umemaliza hii sinto fahafamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…