Hivi kaka huko ghorofani kuko sawa?Kikwete licha ya hayo mapungufu yake kila mwaka aliwaongezea nyongeza ya mishahara watumishi wa umma, na Deni la Taifa halikuwa kubwa kama sasa ambapo wanajinadi kudhibiti wizi safari za nje lakini Deni la Taifa limepaa kuwa maradufu huku watumishi wa umma wakibuni Mbinu za kisayansi kufanya ufisadi pasipo kugundulika kirahisi kwa haraka, Ndege wanunue kwa mikopo lakini vitu vinginevyo vya maendeleo vifanyike kwa kasi ikiwemo kujenga miundominu bora zaidi isiyo haribiwa na mvua kirahisi
Serikali huwa haifanyi biashara bwana mdogo
wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Wewe umejaa wivu na chuki tuu kwa huyo dotto na hiyo itakusumbua sana kwani waswahili 'wanasema usilolijua litakusumbua'.Doto ni mmowapo wa waidhinishaji wa malipo ya cash , utakuja kujua huko mbele pindi CAG akituhusiwa kuingia humo.
Serikali huwa haifanyi biashara bwana mdogo
Najua hatuwezi kuelewana lakini nakuhakikishia hizi fedha za kununulia ndege kama zingetumika kuongeza posho na safari za wabunge na wabunge na wafanya kazi (huku asilimia kubwa ya wananchi vijijini wakiwa hoi ) usingesikia lawama yoyote. Huu ubinafsi mimi ndiyo huwa siutaki.Kikwete licha ya hayo mapungufu yake kila mwaka aliwaongezea nyongeza ya mishahara watumishi wa umma, na Deni la Taifa halikuwa kubwa kama sasa ambapo wanajinadi kudhibiti wizi safari za nje lakini Deni la Taifa limepaa kuwa maradufu huku watumishi wa umma wakibuni Mbinu za kisayansi kufanya ufisadi pasipo kugundulika kirahisi kwa haraka, Ndege wanunue kwa mikopo lakini vitu vinginevyo vya maendeleo vifanyike kwa kasi ikiwemo kujenga miundominu bora zaidi isiyo haribiwa na mvua kirahisi
Huyu TL ndiye mwenye akili za matope. Ahangaike na kubeba maboksi tuJe, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli. By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
Wewe umejaa wivu na chuki tuu kwa huyo dotto na hiyo itakusumbua sana kwani waswahili 'wanasema usilolijua litakusumbua'.
we kijana wa LUMUMBA sometimes bure kabisaMkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!
Just give yourself a break bro. Praise team watakuchanganya....Mkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!
Ukweli aliyetuloga watanzania alishazikwa na mifupa yake haionekani hata kwa vitukuu. Hivi jitu linaamka linaamua kubeba mfuko wa kodi za wananchi na kwenda kununua ndege bila idhini ya walipa kodi wala wawakilishi wao. Halafu linaamuru mahesabu ya ujambazi wake yawekwe kule ambako mkaguzi wetu CAG hafiki Vote 20. bado hatuamki tu kuwa hili ni jizi? Hivi huu si uvunjivu wa katiba aliyoapa kuilinda? Halafu bado anaendeleza unyafuzi wa akili kwa kumpa kodi zetu kilaza mmoja aitwaye bashite bila kufuata taratibu? Hivi kulikuwa na haja ya bashite kuambiwa atapewa fedha za hospitali wakati wawakilishi wa wananchi wana utaratibu wao?Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli. By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
kwangu zina faida kubwa tu kwa soko la ndani kwa soko la nje hasa kimataifa uendelee kusubiri nafikiri hata KLM aikuanza siku mojajibu swali,je ndege zina faida gani economically??
Huyu TL ndiye mwenye akili za matope. Ahangaike na kubeba maboksi tu
Hizo nyimbo zimekuwa zikiimbwa sana ila kwa uthibitisho ngoja itakapotoka ripoti ya CAG 2019/2020 utapata picha kamili wacha ku-prempt mambo.Jidanganye kwa visingizio vya wivu endelea kujifariji lakini mwaka 2026 wakiingia ikulu wengine wakamruhusu CAG kukagua manunuzi ya Ndege ndipo utaona maajabu ya Dunia
Mimi Nakutajia nchi kama ya Ujerumani, hakuna kiwanda hata kimoja au SHIRIKA LOLOTE AMBOALO ni la Serikali.Kwahiyo unataka Nchi iendeshwe km kiwanda cha mtu binafsi?
Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege
Ati hawa ndio wapinzani!
Ukweli aliyetuloga watanzania alishazikwa na mifupa yake haionekani hata kwa vitukuu. Hivi jitu linaamka linaamua kubeba mfuko wa kodi za wananchi na kwenda kununua ndege bila idhini ya walipa kodi wala wawakilishi wao. Halafu linaamuru mahesabu ya ujambazi wake yawekwe kule ambako mkaguzi wetu CAG hafiki Vote 20. bado hatuamki tu kuwa hili ni jizi? Hivi huu si uvunjivu wa katiba aliyoapa kuilinda? Halafu bado anaendeleza unyafuzi wa akili kwa kumpa kodi zetu kilaza mmoja aitwaye bashite bila kufuata taratibu? Hivi kulikuwa na haja ya bashite kuambiwa atapewa fedha za hospitali wakati wawakilishi wa wananchi wana utaratibu wao?
Nauliza wanasheria wote duniani! Huyu mwivi mvunja katiba atafikishwa kwa pilato lini? Je tuna mamlaka?