Una uhakika korosho imeleta hasara?
Akili zile zile za madalali wa kimataifa.Usijitie ujinga were, JIWE kila leo anatangaza kuwashurutisha watu wake kuwalipa wakulima wa korosho fedha zao!! Remember Korosho is a forex earner and the country was not able to export due to poor decision making hence the loss to the country!!
Hivi kabla ya ATCL hawajanunua ndege kulikuwa hakuna denge huko BukobaTundu Lissu kachemka sana Sisi wakazi wa Bukoba ndege ni muhimu zaidi anataka tutumie mabasi wakati tuko mbali sana huduma kuu za serikali.
Tatizo si ATCL kununua ndege tu.Hivi kabla ya ATCL hawajanunua ndege kulikuwa hakuna denge huko Bukoba
Akili zile zile za madalali wa kimataifa.
Umefikiria mwenyewe ukaona hayo uliyoyaandika ndio kielelezo cha ubora wa akili yako!. Pole sana.Nyie mmerogwa na mganga amekufa hivyo mtabaki mazezeta maisha yenu yote!! Siku mtaambiwa mtembee bila nguo na mtakubali kufanya hivyo!!!
Huyu wa sasa ni mpaka 2025 tukipewa uhai na Mungu
Hao wengine ni kama wewe, wapo wachache na wanaishia nyuma ya keyboard.Huyo Mungu wenu peke yenu? Unafikiri kuwa sala za wengine wanaohujumiwa hazipokelewi na MUUMBA?
Wewe ni bnge la zombie bahati nzuri hujielewi hivyoAkili zile zile za madalali wa kimataifa.
Coaster2015 , Ndinani msipoteze muda kubishana na hili zombie linaloitwa Phillipo Bukililo . Hilo ni robot ambalo halitumii akili yake, limesetiwa liwe linajibu wakosoaji wa Serkali kwenye mtandao. Hiyo ndiyo ajira yake 24/7 kwenye social media.Wewe ni bnge la zombie bahati nzuri hujielewi hivyo
Zombie anajibiwa na zombie mwingine. Pole sana mkuu.Wewe ni bnge la zombie bahati nzuri hujielewi hivyo
Pole sana mkuu, jifunze kupokea na kuyakubali maoni yasiyofanana na ya kwako.Coaster2015 , Ndinani msipoteze muda kubishana na hili zombie linaloitwa Phillipo Bukililo . Hilo ni robot ambalo halitumii akili yake, limesetiwa liwe linajibu wakosoaji wa Serkali kwenye mtandao. Hiyo ndiyo ajira yake 24/7 kwenye social media.
Na Corona hii, hiyo midege lazima ilete hasara sana.Pole sana mkuu, jifunze kupokea na kuyakubali maoni yasiyofanana na ya kwako.
Huo ndio ukomavu wa kifikra, vinginevyo huna tofauti na kina Maria Sarungi, wanakosoa kila siku lakini wakikosolewa wana-block watu.
Vipaumbele vya wanasiasa huwa sio vipaumbele vya wananchi, hakuna mwananchi hata mmoja anayeshirikishwa juu ya matumizi ya mipango ya maendeleo, ingekuwa hivo umasikini,tatizo la ajira vingepunguaJe, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
Duuh kumbe ndege zetu azitengenezi faida...nilikua sijui kabisaWapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Walisha bebea mbuzi na si jawahi sikia tena wamepeleka mbuzi wengine nadhani mbuzi waliishaHizo ndizo tope zenyewe, biashara ya Ndege sio kuleta blah blah na kujifanya unatoa huduma, gharama za kuendesha hizo ndege ni kubwa kiasi kwamba muda sio mrefu mtatamani kuziuza na msipate wa kuzinunua, na bahati mbaya mnaharibu mahusiano na jamii ya kimataifa kila siku, na biashara inahitaji watu, ipo siku mtaanza kuzibebea mashudu, endeleeni na uzwazwa.
Dunia nzima kwa sasa ni mwendo wa hasara kwenye sekta nzima ya usafiri. Kuna meli pale bandarini inaitwa City of Beijing, wafanyakazi wanaogopa kuikaribia, wanasakiziana nenda wewe nenda wewe.Na Corona hii, hiyo midege lazima ilete hasara sana.
Sent from my typewriter using Tapatalk