Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,351
- 6,477
Hii ni hata kwenye magari,tunashauriwa kutumia matairi ya magari kwa masaa kadhaa,yakipita hayo masaa basi tunapaswa kubadilisha,lakini kiswahili-swahili watu huendesha tu magari mpaka yanawapasukia na kupata ajali.Usafiri wa anga ni tofauti,mambo ya "safety" ni jambo la kwanza na la muhimu.
Hata hayo matairi ya magari ya ulaya hayapimwi muda kwa masaa bali miaka, na kuna namna ya kusoma ule muda. Yaani ubadilishe matairi ya gari kwa kuzingatia kipimo kidogo cha muda - masaa.